Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Maadam aliishalipia na kumaliza deni lote la karma, saa hizi yuko mbinguni peponi kwa Baba yake. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani Tumwache apumzike!.Karma ya Magufuli ilikuwa ni nini mpaka akafa?
Alifanya nini?
Upo sahihi. Yupo kazini.Sijui kama ni Unabii Bali ni mtu wa system wanakuwaga wanajua maana wanapanga wao.
Ukisoma uzi uliotabiri nani rais 2015 hakika utakubaliana na mwandishi. Jf kuna manabii. Mh. Magufuli aliwekwa namba 10 akiwa wa mwisho. Mwandishi akataja jinsi serikali namaisha yatakavyokuwa. Sote tuliamini kuna kitu nje ya ujuvi wa wengi.Nabii wa walevi
Basi kwa kuwa na wewe unauwezo wa utabiri fungua kilinge🏃🏃Nilianza kumuona miaka ile na kipindi chake cha Kitimoto.
Nikaja kukutane nae UDSM akisoma LLB na mimi nikisoma kozi ngumu kuliko zote pale chuoni, namkumbuka akinesanesa na pikipiki lake viunga ya UDSM au Mabibo Hostel nilipokuwa naishi.
Mwaka 2005 Au 2006 NIlikuwa napata lunch Hill Park, tukajikuta tuko meza moja, ila kwa vile alikuwa star sikumshobokea, Kama ilivyo desturi yangu ya kuwakaushia mastaa so hanijui, simjui.
Kwa bahati mbaya wote tulidisco chuo,Mimi nilidisco sababu ya ugumu wa masomo ila mwenzangu nasikia ilikuwa ni figisu figisu tu za prof mmoja sio sababu ya uwezo mdogo.
Baada ya kudisco nikakimbia nchi tena kwa mara ya pili. Sikuwahi kumuona tena zaidi ya kumsoma JF na mimi siangalii TV sijui yuko TV gani siku hizi.
Kupitia JF Nimekuwa nikifuatilia maandishi yake, nara kadhaa, niseme tu maandishi yake yana unabii ndani yake, orodha ni ndefu sana nikiweka hapa hapatoshi, vitu vingine huchukua miaka hata mitano kutokea, hakuna mwana JF anayemfikia kwa hilo.
Kama hana pepo wa utambuzi basi ana roho mtakatifu. Nafahamu yeye ni mkatoliki Mzuri ila afungue tu kanisa atapata wafuasi. Nafahamu pia anapenda siasa, madhabahuni pia ni sehemu sahihi ya kupiga siasa kama akina Mama Rwakatale, Kakobe, Gwajima, Pengo, Mtikila, Sheikh Ponda, Alhad Musa wote hao wanapiga siasa kwenye mimbari.
Atumie hilo pepo la utambuzi au roho mtakatifu aliyenae kuwafikia wengi.
Maana kila utawala unamsukumia kambo utadhani hana kitu kichwani na kwa umri wake sitegemei kuona akipata teuzi,
Ni ushauri tu.
Waooohh hongereni sana..mtoto hb kweli kweli...Mungu amkuze vyemaMkuu Kalpana , asante, kiukweli Mungu ananisaidia sana, PJ is a big boy nowView attachment 2767760View attachment 2767761
P
Mkuu robert sendabishaka, if ni mtaa, Shule na darasa, wana JF wapabdisha nyuzi ni waalimu na wasoma nyuzi ni wanafunzi, unapozungumzia bandiko lolote la zamani, ili kuwasaidia wanafunzi wapya, unaweka na references.Ukisoma uzi uliotabiri nani rais 2015 hakika utakubaliana na mwandishi. Jf kuna manabii. Mh. Magufuli aliwekwa namba 10 akiwa wa mwisho. Mwandishi akataja jinsi serikali namaisha yatakavyokuwa. Sote tuliamini kuna kitu nje ya ujuvi wa wengi.
Mimi uziwangu huu Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli wa mwaka 2014, haukuwa utabiri, nilishikwa sikio na wale 'jamaa zetu' na nilioutoa kwa angalizo fulani, it's very unfortunately hawa jamaa zetu wa siku hizi ni hakuna kitu!.*Uzi haukuwa wa paschal.
Japo ni kweli kozi za sayasi za medicine na engineering zote, mechanical, chemical, nuclear, etc. ni kozi ngumu kuliko kozi za sheria, or arts zote be it social science or fine and performing arts, lakini tukija kwenye maokoto, ukiondoa nchi ya Marekani, sehemu nyingine kote duniani wanaoongoza kwa maokoto ni waliosoma hizo kozi nyingine!.Unadhani mechanical au civil engineering ni sawa na fine and performing arts?
It's true, sio tuu wanashobokewa, bali pia wanaongoza kwa maokoto!.Dunia yote wasanii wakubwa wanashobokewa zaidi sema tu hawana power
Mkuu mdukuzi, usiseme hawana power, angalia Sugu, Prof. J, Mwana FA na Babu Tale waligombea na nani?. Leo Chinga Boy au mtoto wa Tandale akiamua kugombea... niliwahi mshauri Kubenea Kwa mambo makubwa anayoyafanya mtoto wa Tandale, kama wananchi wakimuhitaji tuu, Kubenea mpishe!.Dunia yote wasanii wakubwa wanashobokewa zaidi sema tu hawana power
Ahaa Michele Obama aluwahi kusema kuwa anatamani angekuwa BeyonceIt's true, sio tuu wanashobokewa, bali pia wanaongoza kwa maokoto!.
Kuna event fulani ilifanyika Jamhuri Jamhuri Stadium, Dodoma, mgeni rasmi ni JK, mburudishaji ni Diamond Platnum na Media Partner ni kampuni ya PPR.
1. MC alipotangaza, mgeni rasmi anawasili, watu walibaki wamekaa tuu, hadi MC kuwaomba wasimame wampokee JK, ndipo watu wakasimama na kumshangilia JK.
2. Diamond Platinum akachelewa hivyo kabla hata hajaingia uwanjani, alizuiwa kuingia uwanjani na msafara wake, akaambiwa rais akiisha ingia mahali, hakuna tena gari nyingine inaruhusiwa kuingia, hivyo akaambiwa ashuke na kuingia kwa miguu. Diamond aliposhuka tuu, ilikuwa balalaa!, watu walipagawa na kupiga kelele kumshangilia utadhani vichaa!. Sasa ile tembea yake na mabodi guards 6!, ni ma bouncer wa 6 pack, wamevaa suti nyeusi za kuwabana ili vifua vionekane!, huku wamevaa miwani nyeusi za security zenye earphones, wawili mbele, wawili katikati na wawili nyuma!, hata rais halindwi hivyo!, alipoingia uwanjani, uwanja ulichachawa, watu walilipuka kuchachawa na kupagawa utadhani wamepandwa mapepo!. Diamond alipata attention kubwa kuliko Rais!.
3. Tukija kwenye maokoto, baada ya event jamaa wakalipa cash, wakati nasaini fungu langu la media, nikaona fungu atakalosaini Diamond Platinum!, ni mbingu na nchi!. Mimi ambaye nimelitangaza tukio mwenzi mzima kabla, na siku ya mwisho kuwatangazia live, kuwaandalia kipindi, ku manage media, nikilinganisha the hassles nilizopitia na bado natakiwa kufanya media monitoring, kufanya media deliveries na mwisho kuwaandikia media report yenye kila kilichoripotiwa, newspapers clips, tv clips, online links!, nikilinganisha na alicholipwa Diamond Platinum kwa kupanda tuu jukwaani ku perform hardly 5 minutes!, kiukweli nilichoka!.
Yaani mtoto wa Tandale, Standard Seven drop out, alilipwa 20 times a University graduate, aliyefanya media Consultancy!.
P
Kusoma ni jambo moja na uwezo wa kufikiri ni jambo jingine!. Uwezo wa kusoma ni aquired knowledge unapatikana kwa kufundishwa, wakati uwezo wa kufikiri ni inborn abilities mtu unazaliwa na akili zake!.Kama udsm kuna kozi ngumu na kozi laini, ndio maana wanazalisha maprofesa wenye uwezo mdogo wakufikiri....
Mkuu The Boss!, nimesisimka!, you are a genius!. Japo watu humu wananiona kama nina akili, lakini kuna watu wanaona mbali mpaka!. Believe it or not, hili ndio nimelijua leo!.Pasco huwa ana "inside info"
Hata plan ya Tec kumtaka Philip Mpango mwaka 2025 ..Pasco anaijua lakini huwezi jua kama anajua..
Mkuu ChoiceVariable , kwanza you are absolutely right, kazi ya system is to get info, hivyo mtu unaweza usiwe mtu wao, wakawatumia watu waliokaribu na wewe, and sometimes hadi vimada wako, wana nam recruit as an informer. Sisi ma journalists watu wa kazi mbili mbili, wenzetu wengi wapo.Habari nyeti hawezi pata mtu back,unaweza kuwa unatumiwa na system Kwa kujua au kutojua Kwa kutumia hiyo hiyo career Yako Kwa sababu maalumu
Kwenye siku halisi ya kifo cha JPM, kuna vitu viwili,Kwani dunia hii ina siri, baada ya magu kufa kuna ambaye hakujua kuwa amekufa, kabla ya kitangazwa rasmi