Enzi za Nyerere mtu kuwa sehemu ya mfumo, walikuwa wanachaguliwa toka Shule, waki pick the top cream, nafasi zilikuwa hazitangazwi!, hivyo ndivyo wazazi wangu wote wawili walivyo ingia. Hivyo watu original wa mfumo walikuwa watu very special.
Mimi mwenyewe kujua wazazi wangu walikuwa wanafanya kazi wapi, nimekuja kujua nikiwa darasa la 5!, tena sio kwa kuambiwa, kwa kusoma gazetini kwenye gazeti la Mzalendo jina la Mzee wakati kesi ya Mauaji Mwanza, ndipo nikajua Baba alikuwa nani!.
Wakili Pasco Mayalla - A True Story of My Life: Nilitamani kuwa Wakili sababu ya Wakili Murtaza Lakha, sasa ni Wakili. Je, nitakuwa kama Lakha? Part 1
System ilianza kuharibika Enzi za Director Emmilio Mzena, recruitment ilianza kufanywa kwa waliomo kuleta watoto wao, ikatokea sio watoto wote wa 'jamaa zetu' hawa walikuwa as intelligent as their parents!.
Sisi kwavile tumezaliwa watoto 8, I can't tell the status ya ndugu zangu ila mimi sio!.
Hawa jamaa wakaanza kujisikia, zamani ilikuwa sifa kutokujulikana, sasa ni ujiko kujulikana!.
Hawa 'jamaa' were supposed to be very special people with extra ordinary intelligence but it's very unfortunately only few ndio wazuri, the rest ni ordinary people with little or no intelligence yoyote at all!.
Sisi watoto tuliozaliwa na wazazi waliokuwa huko tumezaliwa na traits za kihuko, hivyo tukihisi kitu hatarishi tunawatupia tip!.
Mimi ile 2014 nilipotonywa
Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli humo niliweka kila kitu!. Tungekuwa na watu makini kwenye Idara wangetimiza wajibu wao!.
Baada ya Blaza wangu kuingia alipobadili sheria nikawauliza hawa 'jamaa zetu', wataweza kumprotect huyu Blaza?.
Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?
Hapa pia niliwapa tip fulani
US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Baadae nikawapa
Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?
They couldn't protect 'him', so he had to go!, wakataka kuficha kwasababu kiukweli siku tuliotangaziwa ni 5 days later!.
Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?
P