Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu UTOPIANISM , kwenye the law of the jungle, there are only two choices, exist or perish, ili uweze kusurvive you have to struggle to exist and the survival is for the fittest. To be fit one has to adapt to the changing environment, hivyo mimi ni very adaptive, hivyo I am a survivor!. Soma tarehe ya bandiko hili Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!Mh huwa anageuka geuka huyu bwana kuna wakati nilikuwa namuelewa sana huyu ninja ila kipindi cha mwenda zake sijui alikula maharage ya wapi kwa kuwa alitubalishia atmosphere
Line ya mwisho nilisema
PWanabodi,
Wapinzani wote wakiwemo wana Chadema, wana UKAWA, na Watanzania wenzangu kwa ujumla, najua wengi wenu mlimtaka Lowassa, mmemkosa kwasababu Mungu hakumpangia!, na badala yake Mungu amempangia Magufuli, hivyo natoa wito wa "If you can't get what you want, just take what you get!", ukikosa ulichotaka wewe, then pokea ulichopewa na Mungu!, Magufuli ni chaguo la Mungu kwa Tanzania, tumkubali Magufuli kwa moyo mkunjufu, hivyo hivyo alivyo na udikiteta wake, tumpokee na kumpatia kila aina ya ushirikiano wote unaohitajika kumuwezesha kuiongoza vema nchi yetu Tanzania yetu. Tanzania sio nchi ya Magufuli wala Tanzania sio mali ya CCM, Tanzania ni ya Watanzania wote, ni nchi yetu sote, hivyo it can be done kama kila mmoja wetu will play his part!.
Sio tumjoin Magufuli kwa sababu sasa ndio tunampenda hivyo tumemkubali, no way, tumjoin Magufuli kwa kumkubali ndie the only one rais tuliyepatiwa na Mungu, hivyo we have duty and a responsibility to join him kwa lazima, tutake tusitake, tupende tusipende, yeye ndie rais wetu hivyo we have to join him and support him because we have to!.
Paskali