Pasco Mayalla ana vielement vya unabii afungue kanisa

Mh huwa anageuka geuka huyu bwana kuna wakati nilikuwa namuelewa sana huyu ninja ila kipindi cha mwenda zake sijui alikula maharage ya wapi kwa kuwa alitubalishia atmosphere
Mkuu UTOPIANISM , kwenye the law of the jungle, there are only two choices, exist or perish, ili uweze kusurvive you have to struggle to exist and the survival is for the fittest. To be fit one has to adapt to the changing environment, hivyo mimi ni very adaptive, hivyo I am a survivor!. Soma tarehe ya bandiko hili Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
Line ya mwisho nilisema
P
 
hili andiko nililisoma na hapo ndipo naungana na yule bwana aliyesema yawezekana ukawa na vielement vya u prophetic ama ukawa special department nakumbuka mwaka huo 2015 CCM walipokuwa wanafanya vetting ya nan
atakayepew bendera yao ya kupeperusha nilikuwa dodom kuna rafiki yan gu yupo hicho kitengo cha siri kabla ya magufuli kutangazwa kuwa ndiye mshindi pale yule bwana asubuhi kabla ya tukio ananiambia idadi ya kura zilizopigwa kura zilizoharibika na mwenda zake kashinda kwa kura kiaszi gani sikumuamini nafkiri mida ya mbili ama tatu alirudi tena nyumban akiwa ametokea ukumbini kule tena kaacha watu wanapiga kura kaja tukawa tunatazama naye runinga huku anacheka Mkuu Mayala nilishangaa sana yule bwana data alizonipa kura zinatangazwa ni vile vile nilichoka kwa kweli kumbe hawa undercover wanafanya kazi za ccm Mkuu
 
Magufuli alisema Mayala maana yake nini?
Alisema Mayalla maana yake ni njaa, ila Kiswahili kina upungufu wa vocabulary
Neno
Hunger kwa Kiswahili ni njaa
Famine kwa Kiswahili ni njaa
Draught kwa Kiswahili ni njaa, ukame
Hungry kwa Kiswahili ni njaa!

Mayalla kwa Kisukuma sio njaa ni mtoto aliyezaliwa wakati wa ukame wa baa la njaa!. Sasa Msukuma yule wa kufikia, hakuweza kutofautisha baa la njaa na njaa, kauli ile ya Magufuli kuniita njaa ikatafsiriwa mimi ni mtu wa njaa njaa, sasa kwa kadri watu wanavyoita Pasco Mayalla ni njaa, kauli nyingine huumba!, hivyo ikaniumbia njaa!.

Angalia kilichonikuta baada ya kauli hiyo, Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer
Corona ilipokuja ndio ikafunga kazi!, ofisi ya Posta house nayo ikafungwa!.

Sasa nina kibarua cha kujenga image reputation kuwa Pasco sio njaa, ila pia kujenga new sustainability bila kutegemea tenda za serikali, ili tufike mahali sisi watu wa media tuwe kweli ni mhimili, tukisema mfano CCM haitufai na tunatoa sababu kwanini haitufai, na tunawaeleza wananchi we have an alternative, ni Chadema!, believe it or not, CCM inapigwa chini mazima!, Chadema inachukua nchi!.

Lakini kwa hapa tulipo hebu tusemezane kwa ukweli kabisa, kuna chama chochote cha upinzani Tanzania kina the ability, the capacity and the capability kuendesha Ikulu yetu?..

Tuziepuke kauli negative zenye negative powers, zikirudiwa rudiwa zinaumba hilo jambo!. Mfano mzuri ni kauli hizi Kauli huumba! Je, ni kweli Magufuli ni dikiteta? Kama ni kweli, ni kosa la nani kati yake na aliyetoa kauli hii? kauli hii ikamuumbia JPM udikiteta akawa dikiteta kweli!.

Kuna uongo huu ulitangazwa The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja haukukanushwa!, na kweli mwaka 2020 upinzani chali!, Bunge la Chama kimoja!.

Nilipoamua kubadili negative perspective na kutumia positive perspective on Magufuli, Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe amini usiamini he stated to change.

Siku zake za mwisho mwisho aligeuka kuwa Mtakatifu, angalia uzi huu "Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa!

Na by the time anatwaliwa he was a saint, Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Hivyo nawaomba sana wana jf wenzangu, naombeni tusilitumie hilo jina negative.
P
 
Hata uipambe na kuiremba vipi, njaa inabaki kuwa njaa tu.

Wewe ni njaa tu.
 
Dini na siasa hukutana kwenye point hii "kughilibu akili za watu/ manipulation of people's mind.
Theoretically, ni rahisi kutenga hivi vitu ila practically ni kujidanganya zaidi.
 
Nimecheza hapo pia wewe na mwalimu wako na namna prof Ibrahimu juma alivyo maliza mkasa huo na namna ulivyo pambania haki yako ,lakini pia nimecheka unaposema ulipoitwa jina lako kujibu swali hukuitika kwa kuwa hukuwa na majibu ya swali.
Mkuu Lucas mwashambwa , kiukweli nakukubali sana na kila andiko lako humu kitu cha kwanza ni unakula like yangu,
Nilipokuwa kijana I was a bad and nasty boy!. Unaitwa na Mwalimu kwa jina upo darasani, unakauka tuu, nadhani kuna watu walimwambia nilikuwepo na nilinyamaza kama kuni ignores, akaamua kunikomesha na kweli nimesoma!.
P
 
Kweli ulikuwa balaa mkuu
 
Hata uipambe na kuiremba vipi, njaa inabaki kuwa njaa tu.

Wewe ni njaa tu.
FaizaFoxy , japo nakupenda na kuniita njaa hakutapunguza kukupenda, ila hata baada ya kueleza jinsi kauli negative zinapotamkwa na kurudiwa rudiwa zinaumba, hivyo wewe ni mtu wa kuniumbia mimi njaa?!. Nilidhani Allyoki na Mebu wameisha kueleza wanakirudisha Kiti Moto, hewani!, presenta wao ni mimi mimi, hivyo hii njaa itakwisha!.

I don't believe you are such wicked woman wa kiasi hiki!.
Kwa Jina la Yesu, ushindwe na ulegee!
P
 
Brother you are the master of your destiny mtu kusemasema haimaanishi anaweza kuingia ndani yako na kuumba atakacho, you have keys of your life.
Watu wa aina hii(scoffers) wapo na faida yao kwa watu imara kama wewe ni kuzidi kuimarika mara dufu. Mtu ameshikilia njaaa...njaaa...haleti hoja ya maana..
Mpuuzie tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…