Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Kutwa , hili jina silipendi!. Baadhi ya kauli zinaumba!. Baada ya kuitwa vile, njaa ilinitembelea!. Naomba sana tusiendeleze!Mpaka Pasikali Manjaa ana chawa.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kutwa , hili jina silipendi!. Baadhi ya kauli zinaumba!. Baada ya kuitwa vile, njaa ilinitembelea!. Naomba sana tusiendeleze!Mpaka Pasikali Manjaa ana chawa.
karibu Pasco Mayalla ana vielement vya unabii afungue kanisa[emoji3591]Isitoshe yule ni CIA ya Bongo so likely pia kuna vihabari habari vingine anakuwa navyo ndiyo maana anaweza kuvigusia gusia kwenye baadhi ya nyuzi zake.
Mtu anaweza kuwa na elements za intelligence na sio shushushu, mimi ni mmoja wao, na kila nikikutana na situation that needs addressing namwaga humu ili wenye kazi zao walifanyie kazi. Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya? na hapa US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?hivi kwanini kila mtu hapa bongo huwa anahusishwa na ushushushu. hamna kitu kingine cha kumfananishia mtu mpaka huo ushushushu. na huwa mnawajuaje hao mashushushu...? kama sio wenzenu...?
Ni kweli nili disco a technical one Pasco Mayalla ana vielement vya unabii afungue kanisaNilichoambulia ni kuwa Pascal alidisco
True, ila Watanzania very intelligent, wanawaona baadhi ya hao jamaa ni majinga ajabu!. Vitu vidogo tuu tumewapa tip wakashindwa kufanyia kazi mfano mzuri ni huu Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe MagufuliWabongo wanawashobokea sana watu wa mfumo sjui kitengo
Wanawaona watu wa ajabu
Ova
True Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?Nakumbuka Kuna mada.moja alitoa inaelezea Kila mtu ana uwezo au nguvu ya kufanya miujiza.
Mkuu unataka kutuambia "Mwenda" hakuwa Mtanganyika!?True, ila Watanzania very intelligent, wanawaona baadhi ya hao jamaa ni majinga ajabu!. Vitu vidogo tuu tumewapa tip wakashindwa kufanyia kazi mfano mzuri ni huu Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Tungekuwa na effective system wangeisha jua wazazi wake halisi, alizaliwa wapi, aliingia nchini akiwa na umri gani?. Hayo majamaa ni hakuna kitu kabisa pale wengi ni empty shells!. Getting zinaanzia unipoandikishwa darasa la kwanza!, hivyo tuna banyamulenge kibao miongoni mwetu na wameandikishwa darasa la kwanza kama Watanzania.
P
No!, ukiwa na akili kubwa ndio unatakiwa kuwa nje ya mfumo ili usaidie taifa lako,!.Kabisa mkuu kuna watu wamekalia ofisi za umma wanakula kodi zetu kichwani zero,Pascal akili nyingi yuko nje ya mfumo,not fair
Karibu bandiko hili Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi! na hili Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?Mkuu unataka kutuambia "Mwenda" hakuwa Mtanganyika!?
Yes Mzee wangu ndiye alikuwa RSO wa Mwanza wakati wa kesi ya mauaji Mwanza.Kwa mujibu wa maandiko yake yanayothibitika mzee wake alikuwa kitengo Enzi za mwalimu,ila kuhusu yeye hakuna mwenye ushahidi kwa hilo
Yes niliisoma enzi za longi!.By then hakukua na Law School. Ukimaliza tayari wewe ni Mwanashweria
Automatic na yeye yumoKwa mujibu wa maandiko yake yanayothibitika mzee wake alikuwa kitengo Enzi za mwalimu,ila kuhusu yeye hakuna mwenye ushahidi kwa hilo
Asante sana, nimependa tamathali za semi!, sikuponzwa na ujana, nimeponzwa na kuwa mkweli too much!. Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?Ukizaliwa kwenye familia ya vipepeo weusi basi Kwa namna moja au nyingine utajikuta na wewe unatabia za kipepeo mweusi hata kama wewe sio kipepeo mweusi na marafiki nao watakuwa tu na Tabia za kufanana na vipepeo weusi ukiwa nao karibu lazima utajua maua wanayopenda kurukia utajua sehemu wanazopenda ila akipunguza ujuaji nakuwa mpole angekuwa miongoni mwa walamba asali ujana ulimponza saivi amekuwa kipepeo mwenye madoa doa meusi ila sio kipepeo mweusi
Mimi ni mpinzani mkubwa wa nepotism, niliwa kulishauri Bunge letu Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.Tuseme ukweli mayalla ni kiongozi anayepotea kutokana na nepotism
Thanks, sipotei bado nipo nipo sana!Ety mayalla aje ashindwe. Huu ni uchawi kabisa. Sio bure.
Hakika.Hii ni moja ya issues... Usidhani tunamjadili mzee mayalla,tunachokijadili hapa ni kilichobebwa/ kilichomo ndani ya mayalla. Huyu ana uzoefu wa hali ya juu kwenye diplomasia,habari,usalama wa nchi,kuijua vyema katiba na sheria za nchi na uzoefu katika mambo ya utawala.
Tuseme ukweli mayalla ni kiongozi anayepotea kutokana na nepotism na poor governance ya viongozi wetu.
Jokate ameweza
Sabaya
Makonda
Ally happy
Chalamila
Nape
Kafulila
Mwana FA
Ety mayalla aje ashindwe. Huu ni uchawi kabisa. Sio bure.
It's true nakaribia 60, bado nina room kubwa ya kulisaidia taifa at 60 bila kuteuliwa popote!.Kinachouma umri wake unakaribia 60,Taifa limeshindwa kabisa kuvuna maarifa yake kwa faida ya wote,sio haki
Kwanza silipendi hilo jina, pili ujumbe wa kutotaka uteuzi nimeisha amfikishia Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!Baada ya kugundua Pasco atapata teuzi kwenye sirikali ya bi tozo chawa mshaanza kazi