Pasco Mayalla ana vielement vya unabii afungue kanisa

hivi kwanini kila mtu hapa bongo huwa anahusishwa na ushushushu. hamna kitu kingine cha kumfananishia mtu mpaka huo ushushushu. na huwa mnawajuaje hao mashushushu...? kama sio wenzenu...?
Mtu anaweza kuwa na elements za intelligence na sio shushushu, mimi ni mmoja wao, na kila nikikutana na situation that needs addressing namwaga humu ili wenye kazi zao walifanyie kazi. Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya? na hapa US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
P
 
Wabongo wanawashobokea sana watu wa mfumo sjui kitengo
Wanawaona watu wa ajabu

Ova
True, ila Watanzania very intelligent, wanawaona baadhi ya hao jamaa ni majinga ajabu!. Vitu vidogo tuu tumewapa tip wakashindwa kufanyia kazi mfano mzuri ni huu Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Tungekuwa na effective system wangeisha jua wazazi wake halisi, alizaliwa wapi, aliingia nchini akiwa na umri gani?. Hayo majamaa ni hakuna kitu kabisa pale wengi ni empty shells!. Getting zinaanzia unipoandikishwa darasa la kwanza!, hivyo tuna banyamulenge kibao miongoni mwetu na wameandikishwa darasa la kwanza kama Watanzania.
P
 
Mkuu unataka kutuambia "Mwenda" hakuwa Mtanganyika!?
 
Asante sana, nimependa tamathali za semi!, sikuponzwa na ujana, nimeponzwa na kuwa mkweli too much!. Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
P
 
Hakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…