Albert V Ngwale
Member
- Feb 11, 2019
- 48
- 76
Kati ya wewe na kengele nani alikuwa anakaa nje ya darasa?Hivi jamani Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo au kuna tofauti? Cse magari madogo mengi ni 180KMh, sawa na haya magarri yetu SUVs.
Sasa tofauti ni wapi?
Vipimo tu ndio muhimu.Hivi jamani Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo au kuna tofauti? Cse magari madogo mengi ni 180KMh, sawa na haya magarri yetu SUVs.
Sasa tofauti ni wapi?
Swali linasema gari zote mbili zikiwa tayari zipo kwenye hiyo speed.Utofauti upo kwenye uwezo wa gari kufika speed fulani ndani ya sekunde au dakika. Kwahiyo V8 itawahi kuchomoka na kutangulia kuliko hiyo Passo.
Kama zitaondoka wa pamoja toka ziro speed, passo itaachwa nyuma kwa sababu v8 inafika hio speed ndani ya sekunde 2-5 wakati passo naweza fika hio speed kwa dakika 2au 3 hio ni kutokana na ujazo/mzunguko wa engineHivi jamani Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo au kuna tofauti? Cse magari madogo mengi ni 180KMh, sawa na haya magarri yetu SUVs.
Sasa tofauti ni wapi?
Tairi ya V8 lina mzingo mkubwa kuliko ya Passo speed sawa ila V8 itatangulia plus ukubwa wa Injini.Hivi jamani Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo au kuna tofauti? Cse magari madogo mengi ni 180KMh, sawa na haya magarri yetu SUVs.
Sasa tofauti ni wapi?
Mkuu nakurekebisha mambo mawili.Passo ikiwa kwenye speed 80 haiwezi kulingana na speed 80 ya V8..
Kwa kifupi V8 ikiwa kwenye speed hiyo basi mwenye Passo itabidi aende Hadi speed 120,
Mfano mzuri ni magari kama discovery 4 kwenye odometer zinasoma speed 140 ndiyo mwisho ila jaribu kuivuata na gari yako yenye speed 180 utaona aibu itakayokupata
tofauti ni pale utakapokutana na tuta. Ndio utajua ipi ni ipi katika kulipita hilo tuta kwa speed hiyoHivi jamani Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo au kuna tofauti? Cse magari madogo mengi ni 180KMh, sawa na haya magarri yetu SUVs.
Sasa tofauti ni wapi?
Angalau wewe unajua maana ya hii forum. Maelezo ya kitaalamu angalau nimepata cha kufanyia homework. Thanks9🙏🙏Wengi hawajaelewa unachotaka kujua ila kiufupi swali lako majibu yake ni ya Physics ila nitakujibu kiswalihi kufupisha, jibu ni kwamba inaweza kuwa sawa au mmoja wao anaweza kuwa mbele ya mwenzake, usishangae passo akiwa mbele ya V8 kwa speed hiyo hiyo, wengi naona wamefikilia passo hawezi kumzidi V8 kitu ambacho sio kweli,passo anaweza kumzidi V8 kwa speed hiyo hiyo,Mfano kama passo itakuwa imefungwa turbo itapata support ya turbo na kuongeza mzunguko wa engine hivyo itakuwa na acceleration kubwa kuliko V8, ndio maana wengi wanajiuliza why volkuswagen na audi gari ndogo kabisa zenge cc1300 lakini zinamzidi V8 yenye cc4000 mbali katika mwendo? Jibu ni moja tu teknolojia iliyotumika katika gari hizo inaongeza nguvu ya mzunguko katika engine na kufanya kuwa na speed kubwa na haraka zaidi ya engine zisizokuwa na hiyo teknolojia.Teknolojia hizo ni kama Turbo, Grand Tursimo(GT),Gti Gte,Twin turbo,Super charger n.k, jibu ni kwamba Zinaweka kuwa sawa au zisiwe sawa kutoka na factor mbalimbali.
Sidhan hata kama physics ina support hilo.Ukienda kimahesaba za pysics na law zake zote ziko speed moja ila practically haziwezi kua sawa kwa sababu hii
1. Kwenye mlima passo ataanza kusieze kwa sababu engine ni ndogo na hivo itaachwa