Passport ya Tanzania inaweza kukupeleka nchi 72 bila kulipia Visa. Iko nafasi ya 77 duniani kati ya nchi 195

Unaweza kuta hizo nchi zote zinatuhitaji kuliko tunavyozihitaji...

Bila shaka Somalia ipo, Yemeni ipo, Comoro ipo, Eritrea, Djibout, Burundi..... zote depo ngumu huku vijana wakitamani siku moja "USA baby"..
Tutafuteni hela hakuna hela rahisi duniani..
 
Haiwezekani mkuu
 
Sio kweli kila nchi inamuhitaji mwenzake
 
Wenye passport Tanzania wangap? Wakati dunia inafungua visa free Tanzania Wana complicate upatikanaji passport ili iwe ngumu kuipata!! Hizo visa free hata dunia yote wangeachia kwa upatikanaji mgumu wa passport ni hopeless tu
Na wewe umemkana yesu[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Wenye passport Tanzania wangap? Wakati dunia inafungua visa free Tanzania Wana complicate upatikanaji passport ili iwe ngumu kuipata!! Hizo visa free hata dunia yote wangeachia kwa upatikanaji mgumu wa passport ni hopeless tu
Jamani siyo Visa free. Hakuna kitu kama hicho duniani. Kilichopo ni Visa on arrival. Full stop!!
 
pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…