Passport ya Tanzania inaweza kukupeleka nchi 72 bila kulipia Visa. Iko nafasi ya 77 duniani kati ya nchi 195

uchina nauli yako tu, hata ukikamata Ethiopian airline ya saa 11 leo jioni, unatinga.
 
Safi Samia
 
I am just curious…..hivi hizi ID zenu za huku JF huko kwenye chama huwa wanakufahamu kuwa wewe mwenye ID fulan hapa JF jina lako halisi ni hili?
Maana Kuna sifia sifia za ‘kibwege’ I can call zinaendelea humu….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…