Passport ya Tanzania inaweza kukupeleka nchi 72 bila kulipia Visa. Iko nafasi ya 77 duniani kati ya nchi 195

 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Jamani siyo Visa free. Hakuna kitu kama hicho duniani. Kilichopo ni Visa on arrival. Full stop!!
Mkuu nikienda Burundi ni visa free au visa on arrival?!
Au naomba nisaidie kwanini hakuna neno bisa free duniani
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
Acheni uongo wa wazi nyie,hivi mtu unaibuka na liongo lako ili iweje, mtoa thread acha upumbavu mjinga mkubwa



 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Mbona hujautaja huo uongo?
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Kaziindelee
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…