Passport ya Tundu Lissu iliibwaje akiwa Ujerumani?

Pesa yenyewe laki 6. Haitoshi hata kugharamia birthday ya binti yangu.

Mijamaa mipumbavu haijui hata gharama za ugaidi... mashetani wahed.
Na pesa yote iliishia kwenye nauli na kununulia nguo ambazo sio classic pia, walikamatwa hawana ata mia mbovu.....mashetani wahed kabisa ukiuskiliza ushahidi wao kulazimisha ugaidi umbwa takataka hao ni kama watoto wanaigiza
 
Sijaelewa kabisa!

Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.

Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?

Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe suala la Rais kumsaidia yeye aipate tena passport yake?

Kwani hakuna taratibu za kufuata pale passport yako inapoibwa au inapopotea mpaka yeye amtumie Rais kuipata mpya?

Kwa kweli kwenye hili sijamuelewa!
Unafikiri nani atampa lisu passport ata akifuata taratibu kama matibabuambayo ilikuwa haki yake akupata ndio passport
 
Sukumagang wamepigwa kwenye mshono, wanaruka na kukanyagana! Hata ule uzi wa kidhungu unaeleweka tu Nyani!
 
Sijaelewa kabisa!

Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.

Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?

Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe suala la Rais kumsaidia yeye aipate tena passport yake?

Kwani hakuna taratibu za kufuata pale passport yako inapoibwa au inapopotea mpaka yeye amtumie Rais kuipata mpya?

Kwa kweli kwenye hili sijamuelewa!
Mkuu kwa hiyo umri huu bado hujui au hujasikia kuwa Passports zinapotoea. Na passports zinaibwa.
Ebu jaribu kumcheki TL twitter umuulize direct. Sisi huku hatujui kilichomtokea na mazingira yake. Tusikuze sana porojo!
 
Anapenda sana wanawake na pombe, lazima wajanja walimtegeshea chombo ya kizungu kikasepa na mkoba
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pep
Kuna msemo Jakaya aliwahi kuusema last year, ntauweka hapa.

”Duniani waganga njaa wengi, wengine wanapata ugali wao kwa kuongopa.”
Jakaya Kikwete, Chato
26/03/2021

Kwanini huyu jamaa anaongopa? ni kwa interest ya nani? ama nae anaptia hapo ugali wake?

Naomba uskize feedback ya Tundu kuhusu meeting yake na Rais,

Then niambie kama hayo mambo 6 alizungumza na Rais ni ya kitoto.

But, nadhani tunatofautiana sana....ni muhimu kuzingatia hili.

Pengine kwa huyo jamaa hivi vitu ni ujinga na utoto;

Katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi, Demokrasia ya kweli, Usalama kwa watanzania wote bila kujali wanatoka chama gani etc

Kwamba huelewi anaposema ameibiwa passport? Kama aliibiwa mkoba wenye passport, leseni, pesa, nguo za ndani, kitabu cha katiba ya chama chake na vitu vingine, je alipaswa avitaje vyote?

Suala la nani aliiba passport anajua aliyeiba. Inawezekana ni wale ambao hawataki arudi Tanzania.

Kuhusu kumwambia Rais, ukiacha kuwa Rais ni taasisi, anayeshika nafasi ni mtu. Kila mtu huomba msaada kwa mtu mwenye connection na kitu fulani. Kama wewe una jamaa uhamiaji kwani ni shida kuomba msaada? Sasa yeye kakutana na mtu mwenye nafasi ya juu, na inawezekana alikuwa anakataliwa kupewa passport nyingine. Kaomba msaada kwa mtu mwenye connection naye.
Wako ambao wamekuelewa ila watajifanya hawajakuelewa!
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Pep
Huyu aliyeandika hivi utakuta ana siku kadhaa maji hayatoki kwakwe

Umeme umekatika tangu asubuhi anapoishi.

Kila anachotumia kimepanda bei maradufu lakini hajaongezwa mshahara kwa miaka 6 sasa.

Na mengineyo mengi kama hayo.

Wanapotokea watu wenye uthubutu wa kufanya juhudi za ku question, walau kutoa wake up call kwa serikali yetu....wanabeza.

I promise you, we need 20 good years of a solid colonization.

It is appalling how we analyze things, perhaps we should also be taught how to think?
 
Hebu usimjadili mtoa mada jaribu hoja zake.
Mtoa mada yupo mambele.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ina maana alikosa cha kuomba?eti Pep [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatujui the whole story yet.

Pengine kuna mambo hapo Tundu hajayazungumza.

Lakini kwa mtu yeyote asiyekua biased, na anayeweza ku reason mambo.....lazima mtu awaze kwamba kuna obstacle somewhere ndo maana hii passport maombi yamepelekwa kwa rais.

Mange Kimambi hakuwahi kuzungushwa kupewa passport yake ilipo expire? ubalozi wa Tz marekani waka block any renew attempts by Mange?

Mbona hili suala sio ngeni?
 
Lissu si mtu wa kufata taratibu ni mhuni tu na selfish
 
Kuna msemo Jakaya aliwahi kuusema last year, ntauweka hapa.

Kwanini huyu jamaa anaongopa? ni kwa interest ya nani? ama nae anaptia hapo ugali wake?

Naomba uskize feedback ya Tundu kuhusu meeting yake na Rais,

Then niambie kama hayo mambo 6 alizungumza na Rais ni ya kitoto.

But, nadhani tunatofautiana sana....ni muhimu kuzingatia hili.

Pengine kwa huyo jamaa hivi vitu ni ujinga na utoto;

Katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi, Demokrasia ya kweli, Usalama kwa watanzania wote bila kujali wanatoka chama gani etc

Lakini mada inahusu passport
 
Sijaelewa kabisa!

Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.

Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?

Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe suala la Rais kumsaidia yeye aipate tena passport yake?

Kwani hakuna taratibu za kufuata pale passport yako inapoibwa au inapopotea mpaka yeye amtumie Rais kuipata mpya?

Kwa kweli kwenye hili sijamuelewa!
1645112610727.png

Angalia jinsi anavyomdharau! Hakuna cha Barakoa wala nini, sasa nani ana-Covid hapo?

TL ni mwongo, huwezi kupata asylum nchi yoyote ile ukabaki na passport ya nchi uliyokimbia. Huyu Mama mwacheni, angoje atakachovuna. Ni aibu na fedheha kwa rais aliye madarakani kukutana na raia wa nchi yako ambaye ni mkimbizi nje ya nchi yako.
 
Hatujui the whole story yet.

Pengine kuna mambo hapo Tundu hajayazungumza.

Lakini kwa mtu yeyote asiyekua biased, na anayeweza ku reason mambo.....lazima mtu awaze kwamba kuna obstacle somewhere ndo maana hii passport maombi yamepelekwa kwa rais.

Mange Kimambi hakuwahi kuzungushwa kupewa passport yake ilipo expire? ubalozi wa Tz marekani waka block any renew attempts by Mange?

Mbona hili suala sio ngeni?
Sasa si mjibu hoja za mtoa mada
Mbona mnamtetea huyo Lissu kwa kila kitu😁
 
  • Dislike
Reactions: Pep
Sijaelewa kabisa!

Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.

Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?

Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe suala la Rais kumsaidia yeye aipate tena passport yake?

Kwani hakuna taratibu za kufuata pale passport yako inapoibwa au inapopotea mpaka yeye amtumie Rais kuipata mpya?

Kwa kweli kwenye hili sijamuelewa!
Kwani wewe una umuhimu gani wa kuelewa juu ya pass ya mh lissu?

Wewe ni nani ndani ya cdm au ndani ya nchi hii?

Wewe kula sembe yako ukalale tu huko kwenu koromitje.
 
Back
Top Bottom