Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

all true
 
Ni sawa na biashara za usafirishaji kwenye mabasi; lakini tujiulize kwa nini hizo kampuni huwa zinakufa ingawa huwa zinaingiza hela?
Sababu ziko nyingi sana ila sababu kubwa zaidi ni mbili.
1.Risks ni nyingi sana ikiwemo ajali na uchakavu wa vipuri ni rahisi kukufilisi hata kama uliingiza faida.
2.Ukiwa na biashara ya usafirishaji pesa inayopatikana walaji ni wengi mno mwisho wa siku faida halisi inayobaki kwako ni ndogo sana na hiyo hiyo ndogo mbeleni itahitajika tena kwa dharura.
Walaji ni kama trafiki,Sumatra,TRA,halmashauri,Fundi gereji,Dereva/kondakta na wengineo.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…