Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

Je, huyo mtu anayekusuddiwa hapa; Wakati huo ameuza nyumba, anaishi wapi? Je, huyo mtu ana familia?
Inawezekana mi ndio sijafahamu huenda fedha ya Tz imeshuka thamani, kwahiyo kupata milion 100 ni kama kumeza tu mate!
Wewe Una milion ngap sahivi hapo tuone umemeza makamasi mangap🚶🚶🚶
 
T
Biashara huwa na changamoto mbalimbali.Kwenye Boda 100 hukosi madereva wavuta bangi,gereji na usumbufu wa kulipwa.
Tajiri KAJIPANGE bwana
Tumia serikali ya mtaa kupata hela zako kihalali usiwape wavuta bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…