Trust me ankali
Member
- Sep 22, 2018
- 74
- 124
Waalimu mnaitwa uko, kukopeshwa pesa .pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma
tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi,
Tunapatikana mbezi beach kwa zena mtaa wa baraka
Kwa mawasiliano tupigie 0677112168
Au bofya Maombi ya Mkopo kujisajiri.
Kumbe ndo targeted?Waalimu mnaotwa uko, kukopeshwa pesa .
Waalimu akili zao kwa 90% huwaza kukopeshwa eti kuepuka umasikini wakati umasikini unaongezeka tu.K
Kumbe ndo targeted?
Usituhumu watu mzee bila evidenceKwanza pale sio Mbezi Beach kwa Zena
Pale ni BOT
Pili sio usajiri bali usajili
Tatu elezea hiyo riba nafuu ni ngapi na kwa muda gani
Nne nyie ni moja Wapo ya mikopo umiza
Waalimu mnaitwa uko, kukopeshwa pesa
hapo ni kama umetia ndimu kwenye kidonda, hutomuona akirudi na majibu.Kwanza pale sio Mbezi Beach kwa Zena
Pale ni BOT
Pili sio usajiri bali usajili
Tatu elezea hiyo riba nafuu ni ngapi na kwa muda gani
Nne nyie ni moja Wapo ya mikopo umiza
Trust me ankali Weka hapa kila mtu aone peupeee riba ni asilimia ngapi? na ni kwa mwezi au kwa mwaka?pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma
tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi,
Tunapatikana mbezi beach mtaa wa baraka
Kwa mawasiliano tupigie 0739799115
Au bofya Maombi ya Mkopo kujisajili
Mna vile vigari vinatembea kama vimechuchumaa?pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma
tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi,
Tunapatikana mbezi beach mtaa wa baraka
Kwa mawasiliano tupigie 0739799115
Au bofya Maombi ya Mkopo kujisajili
Hapana mkuu sisi ni kfinanceNyie ndio wajomba wa OSHA
Mikopo ni kwa muda wa 12Trust me ankali Weka hapa kila mtu aone peupeee riba ni asilimia ngapi? na ni kwa mwezi au kwa mwaka?
Hivi vicoba vya kukaa mbali navyo wengi matapeliKwanza pale sio Mbezi Beach kwa Zena
Pale ni BOT
Pili sio usajiri bali usajili
Tatu elezea hiyo riba nafuu ni ngapi na kwa muda gani
Nne nyie ni moja Wapo ya mikopo umiza
Kila mwezi rejesho lako litakua 5,48330/= kila mwezi kwa miezi 12 yoteTrust me ankali mfano ukikopa Mil 5 kwa mwaka mmoja (miezi 12) utalipa tsh ngapi kila mwezi? Mfanyakazi