Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Pamoja na mchango wote huo wa kanda ya ziwa still low mind Mapweza, Kolekole, na Vibua yanawatengua (wachomoa) na kuwadhihaki wasukuma/&watu wa kanda ya ziwa kwenye nafasi za kulisaidia taifa
Hii mikoa ya kanda ya ziwa bado ni masikini sana sana sababu ya population kubwa ya watu waliyonayo. Ukiangalia Mwanza ina watu mara 2 ya Kilimanjaro lakini pato lake siyo mara mbili ya lile la Kilimanjaro. Hii ina maana kiuchumi bado watu wa Mwanza ni masikini kulinganisha na wenzao wa Kilimanjaro.

Kuna kazi kubwa sana ya kufanya ili watu wa huko mpunguze kufyatua watoto ili walau maisha yenu yaboreke. Vinginevyo mtakuwa na pato kubwa kama la Nigeria ila watu wenu watabaki kuwa mafukara daima
 
Yaani hata huko kahama au mwanza hujawahi kufika kwa kifupi Mbeya haitakaa iifikie mwanza mpaka mwisho wa dunia ukumbuke mwanza imezaa geita na sehemu simiyu usilete ngonjera hapa! Hata madini ya huko kwenu sisi ndo tunayachimba na kuuyauza! Tukitoka tunaenda kuwekeza mwanza
 
Hata huo mwaka wanaousema ni ule mwaka Jiji la dodoma liliuzauza viawanja kwa wingi kwa sababu ya watumishi wengi walikua ndo wamehamia dodoma. Sasa hivi huwezi kukuta tena takwimu za dodoma kuongoza.
Ila bado iko namba 2 nyuma ya Jiji la Dar(Ilala),Dom imeshawapita huko Mwanza,Arusha,Mbeya nk kubalini ukweli tuu.
 
Pole Sana ,si tuu nalifahamu vizuri Mwanza bali nimefanya kazi huko miaka 2 ,sisimuliwi.

Nje ya Mwanza Jiji kwingine kote ni umaskini wa kutisha tofauti na Mbeya kila Wilaya ukienda ni Shangwe.
Ona hapa Njaa zinavyowasumbua. 👇

 
Kagera hoi
 
Hilo jedwali la mwisho ndilo linaloonyeaha hali halisi ya maisha ya watu. GDP per capita ndiyo kipimo kizuri.
Hapo utaona kuwa kuna mikoa kibao haijafika hata uchumi wa kati. Mikoa kama Kagera, Shinyanga, Dodoma etc haijafika uchumi wa kati.
Jamaa wanajifariji huko wakati wanaelewa fika kwamba wanachangia maskini wengi Sana hapa Tzn.

Hakuna mikoa mitamu kwa kuishi hapa Tzn kama Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.
 
Mbeya kuna migodi Chunya. Usidanganye hapa
 
Tulikwambia Miti ya mbao na miparachichi haiwezi kuwasaidia. Lazima sasa ukubali kwamba Njombe ni uswekeni tu
 
Tulikwambia Miti ya mbao na miparachichi haiwezi kuwasaidia. Lazima sasa ukubali kwamba Njombe ni uswekeni tu
Una matatizo inakusaidia,kama unabisha subiria taarifa za Hali ya umaskini utaona mlivyo na maisha ya nguruwe huko
 
Simiyu haijatokana na Mwanza na inajitegemea. Mwanza wakati wa kuundwa mkoa wa Simiyu ilichangia wilaya moja tu ya Busega huku wilaya zingine Maswa, Bariadi, Meatu na Itilima zilimegwa toka Shinyanga. Kwa hiyo usipotoshe hapa kwamba eti Mwanza iko pamoja na Simiyu. Pole sana.
 
Wapi nimetaja mgodi kuwepo hapo Mwanza? Mikoa inayozunguka Mwanza yote ina migodi na yote services nyingi zinatokea Mwanza jijini hapo.Kwa hiyo Mwanza inafaidika zaidi.
Ebu tuambie services gani ? Mwanza usilinganishe na vitu vinyonge kama Mbeya
 
Ndio nataka Takwimu za Simiyu,zikitoka tuu hapo hutaiona Shinyanga top ten na figure ya Mwanza itashuka kwa sababu ya hiyo Busega..

Weka.Takwimu mbona Sisi tumeweka za Songwe?
 
Kiukweli mkoa kama shinyanga unabebwa tu na migodi ambayo kihalisia wananchi sio wamiliki.
Mikoa kama Kilimanjaro , Arusha na mwanza uchumi unakisi haya ya wananchi pia
 
Dodoma vipi?

Mwaka Kama iliongoza kwa makusa yo ya Kodi kuliko mikoa yote Tanzania.
Zile zilikuwa siasa tu, zaidi ya bunge na maofisi ya serikali dodoma kuna nini pale.
 
Tutaendelea kuzaa sana na kupeleka watu wetu mikoa ya wanyonge kama moro, mbeya , katavi, lindi na Ruvuma na sasa tumeshafunika kigoma yote hasa wilaya za uvinza, kibondo na Kakonko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…