Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Acha kudakia kwa mbele utaingizwa huko buttocksini,wapi nimetaja kuna mgodi we kenge
Utakuwa una tatizo la akili sio bure, ukute naangaika kumuelewesha chizi, we ulisema mikoa ya kanda ya ziwa bila migodi hamna kitu.
 
Tutaachaje kufyatua wakati uwezo wa kutunza tunao.Shida ya Kilimanjaro hata ardhi walishaigawana yote
 
Hizi takwimu haziwezi kuwa sahihi... NAPINGA!

wana-MATAGA wenzangu, tufanye hima twende mahakamani kwa sababu hizi ni mbinu za kutaka kumchafua Mpendwa Wetu na kutaka kufuta legacy yake... tuseme kwa pamoja "HAWATAWEZA....."

Mpendwa wetu, kipenzi cha roho yetu, Mwana-mapinduzi na shujaa wa Afrika, The Indomitable Lion, Nguli la Kemia na Hisabati, huyu si Mwingine bali Our Heartfelt Life Long Commanding In Chief, the Late Honorable Doctor Who Didn't Want to Be a Professor, The Man Himself Honorable Sir John Joseph Pombe Magufuli alisema wazi kwamba Dodoma ndio mkoa unaoongoza kwa mapato hivi sasa.

Haiwezekani, yaani miezi 6 tu baada ya kifo chake Dodoma Yetu haipo hata kwenye Top 10?!! Wanataka nini hawa watu kama sio kuchafua legacy ya Our Beloved Supreme President?! Au Mafisadi yamefisidi mapato ya Dodoma?!

Ulisema tutakukumbuka, ni kweli Tunakukumbuka Baba... Tayari Mafisadi Yamekwiba Mapato ya Dodoma na hivi sasa mkoa wetu haupo hata kwenye Top 10!!!
 
Leo hulali unawaza jinsi Njombe ilivyoshika mkia nyau wewe. Huwezi kushindana na kanda kuu na lazima ukubali utake usitake
Tuonyeshe ilipoandikwa kwamba Mwanza haitakuja kuzidiwa na mkoa wowote wa Tzn as days goes on
 
Wanunuzi wa dhahabu na wenye migodi mbeya- chunya ni wasukuma, Mbalali wafugaji na wakulima wa mpunga ni wasukuma.Ngoshasi ni kazi tu.Slogan ya mwendazake inathibitisha kuwa Kanda ya ziwa ni waumini wa HAPA KAZI TU
We ni kajinga Sana, Mbarali tunalima mipunga enzi na enzi,Migodi Chunya ipo toka enzi ya Mwalimu..

Miaka yote hiyo nyie washamba mlikuwa kunusa vijambio vya ng'ombe huko.

Mnaongoza kwa umaskini ndio Kazi hiyo?
 
Kanda ya ziwa ndiyo kanda pekee yenye Manispaa wilayani. Wilaya ya Kahama Ina hadhi ya Manispaa sawa na baadhi ya mikoa
 
A
Achana na siasa kijana, Kwanza Dodoma ukiacha maofisi ya serikali inatofauti gani na Singida?
 
Kuna vitu hapo ni gift of nature,hamkutumia ujanja wowote kuvipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…