love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Mikoa yote yenye migodi imeshindwa kuizidi ije kuw mbeya au nyie wa kwanza kuw na migodiSio mwakani itategemeana na kiwango cha uwekezaji na kiwango na thamani ya uwekezaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikoa yote yenye migodi imeshindwa kuizidi ije kuw mbeya au nyie wa kwanza kuw na migodiSio mwakani itategemeana na kiwango cha uwekezaji na kiwango na thamani ya uwekezaji.
Imekuwa mingi tangu waanze kuzurura kukimbia njaa kwaoHiyo migogoro imeanza leo
Utakuwa una tatizo la akili sio bure, ukute naangaika kumuelewesha chizi, we ulisema mikoa ya kanda ya ziwa bila migodi hamna kitu.Acha kudakia kwa mbele utaingizwa huko buttocksini,wapi nimetaja kuna mgodi we kenge
Mchunga ng'ombe umepaniki.
Tutaachaje kufyatua wakati uwezo wa kutunza tunao.Shida ya Kilimanjaro hata ardhi walishaigawana yoteHii mikoa ya kanda ya ziwa bado ni masikini sana sana sababu ya population kubwa ya watu waliyonayo. Ukiangalia Mwanza ina watu mara 2 ya Kilimanjaro lakini pato lake siyo mara mbili ya lile la Kilimanjaro. Hii ina maana kiuchumi bado watu wa Mwanza ni masikini kulinganisha na wenzao wa Kilimanjaro.
Kuna kazi kubwa sana ya kufanya ili watu wa huko mpunguze kufyatua watoto ili walau maisha yenu yaboreke. Vinginevyo mtakuwa na pato kubwa kama la Nigeria ila watu wenu watabaki kuwa mafukara daima
Hakuna na wala hautakuwepo sisi washindani wetu ni Dar peke yake nje hapo hakuna mkoa giant mwingine wakuitishia Mwanza.Tuonyeshe ilipoandikwa kwamba Mwanza haitakuja kuzidiwa na mkoa wowote wa Tzn as days goes on
We ndo chizi,mikoa ni uwingi na yenye migodi inajulikanaUtakuwa una tatizo la akili sio bure, ukute naangaika kumuelewesha chizi, we ulisema mikoa ya kanda ya ziwa bila migodi hamna kitu.
Hio ndio kazi yako kuangalia ng'ombe wanaozururImekuwa mingi tangu waanze kuzurura kukimbia njaa kwao
Tuonyeshe ilipoandikwa kwamba Mwanza haitakuja kuzidiwa na mkoa wowote wa Tzn as days goes on
Mbeya sio ya mchezo mchezo,mbona tumewazidi makusanyo ya Jiji? Mnataka mzidiwe mara ngapi? 😀😀Mikoa yote yenye migodi imeshindwa kuizidi ije kuw mbeya au nyie wa kwanza kuw na migodi
Unakimbilia mwamvuli wa kujifichia hapa tunaongelea gdp we unaleta utumbo hapa.
Njaa itawaua wabadilike dunia imeahatoka hukoHio ndio kazi yako kuangalia ng'ombe wanaozurur
We ni kajinga Sana, Mbarali tunalima mipunga enzi na enzi,Migodi Chunya ipo toka enzi ya Mwalimu..Wanunuzi wa dhahabu na wenye migodi mbeya- chunya ni wasukuma, Mbalali wafugaji na wakulima wa mpunga ni wasukuma.Ngoshasi ni kazi tu.Slogan ya mwendazake inathibitisha kuwa Kanda ya ziwa ni waumini wa HAPA KAZI TU
Kanda ya ziwa ndiyo kanda pekee yenye Manispaa wilayani. Wilaya ya Kahama Ina hadhi ya Manispaa sawa na baadhi ya mikoaKwenye suala na maendeleo Mwanza inakimbia kwa kasi sana, nilikua na miezi kadhaa sijafika Mwanza leo nina wiki niko Mwanza kuna mabadiliko ya kimaendeleo makubwa sana yanayo onekana kwa macho si yakufikirika kuanzia barabara, hudumaza afya na makazi. Kati ya mikoa niliyowahi kufika Mwanza ndio mkoa wananchi wake wana makazi bora sana japo yapo maeneo yenye makazi duni kama Igogo na mabatini tena nahisi hizo tu ndio sehemu zenye makazi duni.
Kwenye afya kuna zaidi ya hospital 5 za kisasa ukianzia bugando ,sekou toure, kamanga hospt aghakan, Tanzanite hospt dispensary karibu kila mtaaa clinic za madactari bigwa zipo za kutosha.
Mwanza mjini watu wako busy na kazi wizi wa kishenzi shenzi wa kuchomoleana upo kwa kiasi kidogo sana, watu wako busy na maisha .
Anyway Mwanza imekua kiuchumi.
Hongeren!Mbeya sio ya mchezo mchezo,mbona tumewazidi makusanyo ya Jiji? Mnataka mzidiwe mara ngapi? 😀😀
Achana na siasa kijana, Kwanza Dodoma ukiacha maofisi ya serikali inatofauti gani na Singida?Hizi takwimu haziwezi kuwa sahihi... NAPINGA!
wana-MATAGA wenzangu, tufanye hima twende mahakamani kwa sababu hizi ni mbinu za kutaka kumchafua Mpendwa Wetu na kutaka kufuta legacy yake... tuseme kwa pamoja "HAWATAWEZA....."
Mpendwa wetu, kipenzi cha roho yetu, Mwana-mapinduzi na shujaa wa Afrika, The Indomitable Lion, Nguli la Kemia na Hisabati, huyu si Mwingine bali Our Heartfelt Life Long Commanding In Chief, the Late Honorable Doctor Who Didn't Want to Be a Professor, The Man Himself Honorable Sir John Joseph Pombe Magufuli alisema wazi kwamba Dodoma ndio mkoa unaoongoza kwa mapato hivi sasa.
Haiwezekani, yaani miezi 6 tu baada ya kifo chake Dodoma Yetu haipo hata kwenye Top 10?!! Wanataka nini hawa watu kama sio kuchafua legacy ya Our Beloved Supreme President?! Au Mafisadi yamefisidi mapato ya Dodoma?!
Ulisema tutakukumbuka, ni kweli Tunakukumbuka Baba... Tayari Mafisadi Yamekwiba Mapato ya Dodoma na hivi sasa mkoa wetu haupo hata kwenye Top 10!!!
😆😀🏃🏃Unajifariji sio,,sindano ziko hapa 👇Hongeren!
wilaya ya kwanza huw ilala ya pili kaham or nyamagana
hizo data naziomba na chanzo chak
Kuna vitu hapo ni gift of nature,hamkutumia ujanja wowote kuvipata.Tuna Ziwa, tunauza zaidi ya 90% ya samaki zinazouzwa nje ya nchi.
Tunauza zaidi ya 90% ya pamba inayozalishwa Tanzania, tunazalisha sisi.
Tunazalisha na kuuza 100% ya dhahabu nje na ndani ya nchi.
Tunazalisha na kuuza 100% ya almasi ndani na nje ya nchi.
Tunazalisha na kuuza zaidi ya 50% ya kahawa nje na ndani ya nchi.
Tuna Serengeti, ambayo inavutia zadi ya 80% ya watalii wanaoitembelea Tanzania kila mwaka. Serengeti ndio utalii wa Tanzania. Bila Serengeti wazungu Tanzania tungeishia kuwaona kwenye tv.
Hivyo kwa kuleta zaidi ya 80% ya watalii Tanzania, tunaingiza zaidi ya 80% ya mapato ya utalii Tanzania.
Mifugo, usisahau tunafuga na kuzalisha zaidi 50% ya mifugo na mazao yake kama ngozi, maziwa, pembe, mapumbu, nk😂. Tanzania.
Tuna wanaume jasiri kuliko wanaume wa makabila yote Tanzania, wako Mara.
Tuna wanawake warembo, weusi, walioumbika na wenye shape nawanaomwaga maji Tanzania nzima wako Kagera. Wanawake weupe warefu wa kisukuma na wanawake jasiri roho ngumu wa Mara😂.
Wanawake wa mara kwa ujasiri wanazidi wanaume wa mikoa ya pwani na Iringa.
Wife anaona ametoka bafuni na taulo tu hapa ameniita, narudi.