Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Tuletee hiyo taharifa kuwa Mwanza ilishawahi kuzidiwa na mkoa wowote toka uhuru wa Tanganyika zaidi ya dar weka hapa hiyo report, pia mwaka jana tu ndio simiyu waliiweka pamoja na mkoa wa shinyanga otherwise acha upumbavu na wivu wa kijinga tupige kazi kama wananchi wa kanda ya ziwa.
Tuonyeshe ilipoandikwa kwamba Mwanza haitakuja kuzidiwa na mkoa wowote wa Tzn as days goes on
 
Tunataka mapato ya per Capita income,GDP haitakusaidia Sana mkuu ni kujifariji.

GDP yenyewe ya huko Kanda ya Ziwa ni madini ya dhahabu amvayo huishia Kwenye makampuni, serikali na kiduchu ndio huenda kwa watu wachache..

Huko Njombe ambako unadai WA Mwisho ukileta GDP Per Capita income inashindana na Dar tuu.

Mwisho Takwimu za Shinyanga na Mwanza zinahusisha Mkoa was Simiyu kiasi kwamba Kama Mbeya isingegawanywa kuunda Songwe basi ingekuwa no.2 nyuma ya Dar na huko hakuna Migodi huko ndiko Kuna watu waliostawi Sasa.

Tunataka Takwimu independent za Simiyu,tuone aibu ya baadhi ya mikoa hapa.
Nadhani mbeya per Capita inasitawi kwasababu ya vitu vingi vinapatikana kwa bei ndogo hasa chakula na ukija upande wa mavazi na vitu vingine naona kuwa karibu na Nchi zingine inasaidia kupata bidhaa nyingi za kuuza kwa bei ndogo kitu kinachofanya watu wengi wanunue.
 
Leta report inayosema simiyu wameiweka shinyanga na Mwanza? Ata iweje hamtaweza kufikia kanda ya ziwa bakini na ulofa wenu
Khaa Ripoti gani unataka zaidi ya hiyo 😃😃..Ko wewe unadhani Takwimu zimefichwa au?
 
We msukuma acha mbwembwe, hivi huko kwenye ukame ukiondoa madini panakuaje.
Ona hapa chini wanavyosumbuliwa na njaa 😄😄😆😆

Screenshot_20211009-080136.png
 
Serikali iko hatua za Mwisho kumalizana na investor wa rare earth metals according to Gerson Msigwa, tena mgodi uko jirani na mjini pale Songwe.

Hopefully mwaka ujao tutamalizana na investors wa Chuma Njombe na rare earth metals Mbeya kwa hiyo GDP Zita jump ku add kwenye kilimo na biashara.
kwahiyo tutegemee mwakan kuizidi mwenza?
Mara ingeizid mwanza kitambo na mgodi wa north mara au shy na mgodi wa mwadui(wiliamson diamond)
 
Acha kudakia kwa mbele utaingizwa huko buttocksini,wapi nimetaja kuna mgodi we kengeumese

Ndio nataka Takwimu za Simiyu,zikitoka tuu hapo hutaiona Shinyanga top ten na figure ya Mwanza itashuka kwa sababu ya hiyo Busega..

Weka.Takwimu mbona Sisi tumeweka za Songwe?
Tumia akili tarafa ya busega ilimegwa kutoka wilaya ya magu kwenda kuunda sehemu ya mkoa wa simiyu lkn kiukwel Simiyu ni kipande cha mkoa wa shinyanga.
 
Tumia akili tarafa ya busega ilimegwa kutoka wilaya ya magu kwenda kuunda sehemu ya mkoa wa simiyu lkn kiukwel Simiyu ni kipande cha mkoa wa shinyanga.
Kwa hiyo wakiweka Takwimu za Simiyu Kanda ya Ziwa mtabakiwa na Mwanza na Geita tuu.
 
Nashangaa na mimi eti leo msukuma anavimba mbele ya Mhaya [emoji23][emoji23][emoji23]. Huwezi amini sasa hivi tunawapokea huku Bukoba wakiwa hata ndala miguuni hawana wanakimbia njaa kwao [emoji23]
wanakuja kuomba au kufanya kazi?
Mzee wa kule anamiliki ng'ombe 1000 utalinganisha na anae milik mgomba
 
Kanda ya Ziwa tunarudishwa nyuma na wahaya. Kazi kupigana miti tu maendeleo hakuna, majungu tu wahaya wanajenga oysterbay wanashindwa kujenga kwao huko misenyi, hovyo kabisa[emoji23]
mama yako anapigwa miti na wahaya,utakuwa wewe ni mtoto haramu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha mama yako aliwe nasema ,tuliaaaaa
 
Tuna Ziwa, tunauza zaidi ya 90% ya samaki zinazouzwa nje ya nchi.

Tunauza zaidi ya 90% ya pamba inayozalishwa Tanzania, tunazalisha sisi.

Tunazalisha na kuuza 100% ya dhahabu nje na ndani ya nchi.

Tunazalisha na kuuza 100% ya almasi ndani na nje ya nchi.

Tunazalisha na kuuza zaidi ya 50% ya kahawa nje na ndani ya nchi.

Tuna Serengeti, ambayo inavutia zadi ya 80% ya watalii wanaoitembelea Tanzania kila mwaka. Serengeti ndio utalii wa Tanzania. Bila Serengeti wazungu Tanzania tungeishia kuwaona kwenye tv.

Hivyo kwa kuleta zaidi ya 80% ya watalii Tanzania, tunaingiza zaidi ya 80% ya mapato ya utalii Tanzania.

Mifugo, usisahau tunafuga na kuzalisha zaidi 50% ya mifugo na mazao yake kama ngozi, maziwa, pembe, mapumbu, nk😂. Tanzania.

Tuna wanaume jasiri kuliko wanaume wa makabila yote Tanzania, wako Mara.

Tuna wanawake warembo, weusi, walioumbika na wenye shape nawanaomwaga maji Tanzania nzima wako Kagera. Wanawake weupe warefu wa kisukuma na wanawake jasiri roho ngumu wa Mara😂.

Wanawake wa mara kwa ujasiri wanazidi wanaume wa mikoa ya pwani na Iringa.

Wife anaona ametoka bafuni na taulo tu hapa ameniita, narudi.
Siku tujimege tu maana nchi inaendeshwa na rasilimali zetu kwa karibia70% ila hawa mende pesa zote wanapeleka dar. My home town KAHAMA hata stand la kisasa yameshindwa kujenga
 
Wewe acha kujisemesha upupu,umewahi sikia wapi na lini Mbeya ikaomba upendeleo?

Sisi tukipendelewa kama huko kwenu nyie mtaogelea kwenye umaskini,huku ni Nchi ya ahadi by nature ina resources zote,kuanzia madini hadi misitu.

Siku tukianza kuchimba migodi yetu hamuwezi kutugusa,hapa tunatumia kilimo tuu na biashara.

Mwisho huko hakuna malisho,ng'ombe wako Kwetu Kusini kwa hiyo hakuna wanachofaidisha huko.
Wanunuzi wa dhahabu na wenye migodi mbeya- chunya ni wasukuma, Mbalali wafugaji na wakulima wa mpunga ni wasukuma.Ngoshasi ni kazi tu.Slogan ya mwendazake inathibitisha kuwa Kanda ya ziwa ni waumini wa HAPA KAZI TU
 
Back
Top Bottom