Patrick Mfugale katika umri wa miaka 71 alikuwa anafanya nini ofisi ya umma?

Alikuwa muhimu sana wewe fikiria kadesign madaraja 1500 ya juu na ya chini. Huyo mtu unamuachaje?
Umuhimu wake unajulikana sasa kosa moja tu la kulipa mkandarasi mara mbili limemuua kwa msongo wa mawazo
Acheni chuki zenye ramli zenu hivi mnajua kikwete ni mkubwa kwa Lowassa sasa angalia muonekano wao
Lowassa hana amani ya moyo kwa ufisadi alioufanya
 
He!!! Ndiyo maana hawajaandika kuzaliwa!!! Kawaida taarifa ya kifo ikitanganzwa magazetini wanataja alizaliwa lini na mengine yanafuata. Huyu hawakuweka nikashangaa. Yaani kawaida wakubwa huwa wanawaacha watu walio na maslahi nao ili waendelee kufaidi. Tanroads ni almasi kama mtu siyo mwaminifu, hivyo wakubwa lazima waweke mtu wao hata akifika umri wa kistaafu watamwacha tu!!!!
 
Huyo hakutaka Mwenyewe bali alilazimishwa kwa maslahi ya alomtuma.

Kwa ujumla "Mwendazake"(JPM) sio tu alikuwa mnafiki bali MCHAWI.
 
Halafu walitupigia kelele sana kuwa watumishi wa umma tumefoji umri na ole wetu, fagio la chuma lingefuata. Na aliekuwa anatutahadharisha ni mzee kuliko umri wa kustaafu (Mkuchika)!!! Kumbe watu wao walikuwepo na waliwaacha!!! Hii si haki hata kidogo!!!!
 
Acheni chuki zenye ramli zenu hivi mnajua kikwete ni mkubwa kwa Lowassa sasa angalia muonekano wao
Siyo chuki. Lazima kuwe na fair game kwa kila mtanzania!!! Wengine 60 wanatoka hata contract hupewi lakini wengine wanatesa hata wakifika 70 wanapeta tu. Asingekufa angeachia ngazi lini? Na vijana wengi wako mtaani hawana kazi , na wazee hawataki kung'atuka!!!! Si haki mkuu!!! Nchi yetu sote hii!!!
 
Hahhaaaa
 
Any law has an exception in it mkuu /upo hapo ! Huwez kumtoa Mfugale kisa amefikia umri wa kustaafu na ukamweka kanjanja ili apige fedha za umma a big NO
 
Kuajiliwa sio lazima ila kujiajili ni lazima na wajibu, huyu alikuwa adimu na adimu kweli we shall be equal as human so did Mabala say. Am happy he was such a good man
 
Alikuwa muhimu sana wewe fikiria kadesign madaraja 1500 ya juu na ya chini. Huyo mtu unamuachaje?
Kwani hawawezi kumtumia kama consultant, yaani unavuka miaka 60 bado unakalia ofisi ya umma kama Chief Executive....huo ndo uroho wa madaraka tunaosema, watu wa design hii unaweza kuta wanatumia hadi ndumba....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…