Patrick Mfugale katika umri wa miaka 71 alikuwa anafanya nini ofisi ya umma?

Hicho kitendo cha serikali kumuongezea mkataba mtu ili itafute replacement ambacho umekiita cha kawaida, sisi wasomi wa Human Resource Management tunaita ni Poor succession plan.
 
Nimeona kwenye msalaba 1953, hata hivyo ilibidi awe amestaafu.
 
Afadhali yeye..angalau alikuwa na impact zaidi.Unakumbuka yule engineer mrema alipopewa uCEO wa tanroads alivtoweka wachaga tupu na kuinfalte gharama za barabara kutoka Million700 kwa KM hadi 1.5 biklion harafu ubora hafifu
 
Alikuwa MKONO wa TATU wa Mungu Mtu
 
Alikuwa anapanda na daraja/cheo hiyo miaka 8? Tumechezewa kweri kweriiii
 
Mwizi uyo marehemu
Mwizi ndiyo lakini naye na kitabu chote kichwani bado alikuwa anapelekeshwa na Doctor Sifa aliyeunga unga sifa,tujiulize tu kama engineer unakubalije kwenda kuweka traffic lights vijijini ndani ndani huko ambako kwa siku hazipiti gari zaidi ya nane?

Hii ni shida ya wasomi wa Kitanzania kuendekeza matumbo badala ya taaluma zao hawa kina Musukuma wanapowaponda siyo kwa bahati mbaya wanaujua udhaifu wao ndo maana wanapayukwa tu maana hata wakiulizwa ushahidi wanajua upo.

Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
 
Afadhali yeye..angalau alikuwa na impact zaidi.Unakumbuka yule engineer mrema alipopewa uCEO wa tanroads alivtoweka wachaga tupu na kuinfalte gharama za barabara kutoka Million700 kwa KM hadi 1.5 biklion harafu ubora hafifu
Hebu tulia uandike vizuri
 
Afadhali yeye..angalau alikuwa na impact zaidi.Unakumbuka yule engineer mrema alipopewa uCEO wa tanroads alivtoweka wachaga tupu na kuinfalte gharama za barabara kutoka Million700 kwa KM hadi 1.5 biklion harafu ubora hafifu
Yule hakuwa engineer bali alikuwa quantity surveyor!
 
Afadhali yeye..angalau alikuwa na impact zaidi.Unakumbuka yule engineer mrema alipopewa uCEO wa tanroads alivtoweka wachaga tupu na kuinfalte gharama za barabara kutoka Million700 kwa KM hadi 1.5 biklion harafu ubora hafifu
Hatukumbuki
 
Hicho kitendo cha serikali kumuongezea mkataba mtu ili itafute replacement ambacho umekiita cha kawaida, sisi wasomi wa Human Resource Management tunaita ni Poor succession plan.
Mtumishi mwenye uwezo wa kuendelea kulitumikia Taifa huweza kuongezewa muda lakini siyo kwa kuendelea kukalia kiti kama vile hakuna successor, huendelea na hupewa kazi maalum na huwa kama mshauri zaidi. Miaka nane sidhani kama kulikuwa hata na mpango wa kumpata successor. This was simply a corrupt arrangement.
 
Afadhali yeye..angalau alikuwa na impact zaidi.Unakumbuka yule engineer mrema alipopewa uCEO wa tanroads alivtoweka wachaga tupu na kuinfalte gharama za barabara kutoka Million700 kwa KM hadi 1.5 biklion harafu ubora hafifu
Yule alikua bure sifuri kabisa.
 
Suluhisho ni katiba kk itakayo toa nguvu kwa taasis na mifumo badala ya individual

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Hii ndio Tanzania kama huipendi hamia nchi nyingine.
 
Sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu umri wa mtu kuwa mtumishi wa umma ?
 
Ndio Maana Watanzania Wanataka KATIBA MPYA kwa Ajili ya Mambo haya haya mpaka Mtu kafia Ofisini
 
Kazi imemkosea nini huyo dokta fauci hadi aipige?

Kamoooonn!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…