TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

Wewe endelea kujifariji nakwambia kama hutamsamehe yeyote kati ya wabaya wako hata Mungu hatakusamehe. Na ninakwambia usipende sana kushadadia mambo yasiyokuhusu bibilia inasema cheka na wanaocheka na lia na wanao lia.
ila kweli
 
Mwendazake anawavuta wanawe aliokula nao ufalme wake
 
Mbona unaonekana una makasiriko sana na Mfugale? Una ugomvi nae binafsi Mkuu,tangu mwanzo unamsimanga tu,jamani tujifunze walau jinsi ya kudeal na stress zetu za maisha.Haya ameshakufa,unadhani itakupa ahueni ya maisha wewe binafsi?
[emoji21][emoji21][emoji21]Maisha sijui yanachanganya watu au roho mbaya!unakuta mtu anademkwa hata unashindwa kuelewa,kwamba daraja likiitwa mfungale sijui linamkwaza nini!




Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
R.i.P ila huyu alikua anaonekana dhaifu kiafya nilihisi anasumbuliwa na ugonjwa usio wa kuambukiza
 
Nimechekaaa,kuna mtu hatalala leo akisoma ujumbe wako
 
Mfalme Daudi alipokuwa anaenda vitani na kuua maadui zake wengi hakua anafurahia vifo vyao?
Mtumishi ukisoma kitabu cha Samuel utajua ni kwa nini Daudi aliwaua wafilisti na mataifa mengine, Na ukumbuke ya kuwa mambo yote hayo yalifanyika ili kutimiza ahadi ya Mungu kwa wana wa Israel maana hayo yote Mungu mwenyewe aliyaruhusu yatokee kwa Muda ule laikini kwa sasa sisi tuliookolewa kwa jina la Kristo Yesu mwenyewe ni muhimu kumfata na ndo maana alisema samehe saba mara sabini na muuombee adui yako, wapendeni maadui zenu na pia alisema kisasi ki juu ya Mungu mwenyewe.
 
Majina yote ya watu yatolewe hakuna mtu aliyetoa pesa zake mfukoni kujenga hawa walifanya kazi zao walizokuwa wanalipwa. Tusipokuwa makini nchi nzima itakuwa majina ya watu. Nakubali viongozi tu wa juu kama ma Rais kuenziwa lakini sio tena leo Mfugale kesho Juma kesho kutwa Mwajabu bla bla bla... futa yote majina mengine nuksi kama Ndungai na soko limedoda kama mwenye jina.
 
Kwa hiyo agano la kale kwa sasa hivi ni kitabu kisicho na maana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…