TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

Katika kipindi chake hakuna madudu ndani ya TANROADS ambayo hata tetesi tumezisikia.
Barabara zimejengwa kwa mamia ya kilometa nchini kote.
Bw. Mfugale alikuwa ni mtu makini sana.

RIP Boss!
Hakika.....

Amen!
 
Siempre Mfugale Hasta la Victoria!

May his memories be a blessing ,amen!🙏
 
Mheshimiwa alikuwa kichwa kwa upande wa madaraja. Very intelligent!
 
Wah 10+ wa EAC WAKO pale Nairobi MPAKA leo awajaenda kupangisha chumba ...
Rip Engn dah JAMAA ALIKUWA NA njuuruuu aiseeeeeeee MUNGU akipenda chakee. Banaaa Nani aliejuuyetyyuu
 
Mungu amrehemu!

Kwa CV yake,kama taifa alikuwa mtu muhimu sana ila acha aondoke na wengine wainuke.ni kawaida kwenye maisha juu ya ardhi kuna vitu lazima vitokee ili dunia ikamilishe mzunguko wake.

Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
 
Shukrani, na huu hapa wasifu uliosomwa na engineer Ninatubu Lema ambaye ni school mate wake engineer Mfungale katika ngazi mbalimbali za elimu. Wasifu huo ulisomwa wakati wa uzinduzi wa Mfungale Flyover bridge jijini Dar es Salaam mwaka 2018



Source : Azam TV

Mkuu Eng Mfugale siyo school mate wa Eng Prof Lema.
Na Eng Mfugale hakusoma UDSM-FoE.
Eng Lema class of '82 wakati Eng Mfugale class of '83(kulingana na resume yake.
 
Back
Top Bottom