TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

Huyu alipandishwa sana chat na JK. Alipokuwa kwa JPM akazidi kumpandisha chati na inasemekana akamgeuka hata JK. Sasa undani wa kifo chake ukoje? Mbona ilikuwa ghafla vile! Ni corona kweli ile?
Hapa naona unataka kujenga hoja kuwa JK anahusika na kifo chake! Ushindwe na ulegee!
 
Alianza Mkapa, akaja Kijazi, mara akafuatia Chuma, akamalizia Mfugale.
 
RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…