Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
1000808936.jpg

1000808937.jpg

1000808938.jpg

1000808939.jpg

Wananchi huyu shabiki wa Simba aitwae Patrick Nyembera anaefanya kazi Azam media amekuwa akitumia nafasi yake pale Azam kuihujumu Yanga.
Popote utapomuona huyu kolo mwambie kaa mbali na Yanga ikibidi tumia ile kauli mbiu sisi tuna watu.
 
Kuna taarifa nimeona ya kuwa azam wamefuta ile video ya interview ya mayele na kuomba radhi yanga, je zina ukweli?
 
View attachment 2961090
View attachment 2961092

View attachment 2961093

View attachment 2961094

Wananchi huyu shabiki wa Simba aitwae Patrick Nyembera anaefanya kazi Azam media amekuwa akitumia nafasi yake pale Azam kuihujumu Yanga.
Popote utapomuona huyu kolo mwambie kaa mbali na Yanga ikibidi tumia ile kauli mbiu sisi tuna watu.
Hayo ni mawazo yako binafsi, yeye ni muandishi wa habari hvy amefanya kazi yake, ingekuwa kilichoongelewa ni uongo au kimetoka kwenye mdomo wako bc ungekuwa na hoja.
 
Yanga kwann wasivunje mkataba na azam
Yn wavunje mkataba na Azam kisa mtu mmoja tuu ambaye hana cheo chochote pale Azam.? Em acha utani bhana, kufahamu hilo jambo moja tuu mnalishikia bango hvy wakati yapo mengi chini ya meza.
 
Unajuwa Kwa nini Majizo alimtimuwa Gerald Hando kwenye redio yake?
Sasa mkuu mbona unataka kufananisha vitu visivyofanana, alichoongea Gerald kina effects gn na alichosema Huyo mfanyakazi wa Azam kina effects Gani.?

Ndio maana hata sportpesa kwa kushirikiana na Yanga wenyewe walitengeneza kiki ya mkataba mana wanajua akili za mashabiki wa mpira wa kibongo.
 
Nyembera ndio aache umama hatutaki kabisa ajiusishe na mambo yetu ya Yanga tutapewa kesi mbaya
Ushabiki unakuondoa akili za kawaida kabisa team sio familia kuna mambo mengi ya kujiongezea kipato yafikirie ,sijajua watanzania tumerogwa au kitu gani ,nimeishi UK ni wendawazimu wa football lakini team ni team maisha ni maisha.Huku team na maisha ni sawasawa
 
Hayo ni mawazo yako binafsi, yeye ni muandishi wa habari hvy amefanya kazi yake, ingekuwa kilichoongelewa ni uongo au kimetoka kwenye mdomo wako bc ungekuwa na hoja.
Umesikia habari ya upande mmoja una hakika gani kilicho ongelewa siyo uongo?
 
Tumehama kwenye goli letu tuliloporwa SASA Yuko na na Azam na Mayele. Tukimaliza tunaenda kuchochea Simba ' Hatumtaki Mangungu'. Yuko busy 😂😂
 
Tumeisha waambia Hizo timu kuzishobokea sana kupita kiasi tatizo.

Kila muda simba yanga.
Muda wote mnawaza simba na yanga, hilo ni tatizo na ni kaugonjwa fulani hivi.

Simba na Yanga zimekuwa Dini Tanzania kutwa kucha ni kuziabudu tu.

Mnachezewa Danganya Toto na Goverment maana hivyo ni vyombo vyao vya propaganda.

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Back
Top Bottom