Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Na ww unajuaje n ukweli au uongo wakati Yanga hawajaongea zaid ya kuwaambia Azam wafute video, bc na wao wangeacha hy video na kumjibu mayeleUmesikia habari ya upande mmoja una hakika gani kilicho ongelewa siyo uongo?