Patrobas Katambi: Rais Samia yupo sahihi kuunda Tume 2 za Oktoba 29

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema uamuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Tume ndio utaratibu wa Sheria za Kikanda na Kimataifa ambapo ametoa mifano ya nchi mbalimbali zilivyounda tume za kuchunguza masuala yaliyotokea katika nchi zao.‎

Ameyasema hayo alipokuwa katika Kijiji cha Kangagani, Kaskazini Pemba wakati akimwakilisha Rais Samia kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Amali inayojengwa kwa Shilingi Bilioni 4.

GhfJRpEacAEgTRK.jpeg
 
Nini kingine ataweza sema, he is just a YES man to the regime
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema uamuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Tume ndio utaratibu wa Sheria za Kikanda na Kimataifa ambapo ametoa mifano ya nchi mbalimbali zilivyounda tume za kuchunguza masuala yaliyotokea katika nchi zao.‎

Ameyasema hayo alipokuwa katika Kijiji cha Kangagani, Kaskazini Pemba wakati akimwakilisha Rais Samia kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Amali inayojengwa kwa Shilingi Bilioni 4.
 
Attachments

  • IMG_0830.jpeg
    IMG_0830.jpeg
    184.2 KB · Views: 16
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema uamuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Tume ndio utaratibu wa Sheria za Kikanda na Kimataifa ambapo ametoa mifano ya nchi mbalimbali zilivyounda tume za kuchunguza masuala yaliyotokea katika nchi zao.‎

Ameyasema hayo alipokuwa katika Kijiji cha Kangagani, Kaskazini Pemba wakati akimwakilisha Rais Samia kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Amali inayojengwa kwa Shilingi Bilioni 4.

View attachment 3651264kwa nini tuna ofisi ya DPP na DCI​
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema uamuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Tume ndio utaratibu wa Sheria za Kikanda na Kimataifa ambapo ametoa mifano ya nchi mbalimbali zilivyounda tume za kuchunguza masuala yaliyotokea katika nchi zao.‎

Ameyasema hayo alipokuwa katika Kijiji cha Kangagani, Kaskazini Pemba wakati akimwakilisha Rais Samia kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Amali inayojengwa kwa Shilingi Bilioni 4.

Hivi huyu TAKATAKA bado anaongeaga tu? Mjinga kweli huyu Kilaza. Kiswahili chenyewe hakijui, sura yake imekaa kama amekula mavi.
 
Kwenye domo kama lile, unatarajia unaweza kusikia kauli ya maana?
 
Back
Top Bottom