Patrobas Katambi: Vijana waache kulalamika na kuchagua sana kazi

Patrobas Katambi: Vijana waache kulalamika na kuchagua sana kazi

Kuna Tafakuri.

Katambi na Wenzake mmekazania mitaala ya kuwafundisha:

[emoji117]Quadratic equations,
[emoji117]Mali Empire,
[emoji117]Mito ya China,
[emoji117]The meaning of a pronoun,
[emoji117] Periodic table,
nk, nk
[emoji2958]
.
Kisha tunawalaumu kuwa wanachagua kazi, hawana mbinu za maisha ya kujiajiri na kujitegemea.
[emoji849]
.
Sisi walio mijini tunawaambia wakae vikaoni wakalime, tena kwa kumwagilia.
Wakimwagilia kwa maji ya mto tunawakamata.
[emoji848]
Bahati mbaya, dunia haisimami, na hakuna wa kushuka![emoji25]

[emoji116][emoji116][emoji2971][emoji116][emoji116]
[emoji117]Fumua na kubadili mitaala ya elimu.
[emoji117]Unda mihutasari yenye mtazamo wa Kitanzania kwa Watanzania wa Tanzania ya leo na kesho.
[emoji117]Fundisha yenye maana, yanayowajenga kwa maisha yajayo.
[emoji117] Acheni woga wa "Waupe watatununia".
[emoji117]"Elimu ya Msingi" na "Elimu Msingi" ziwe za msingi kweli, na ziijenge misingi imara ya elimu.
[emoji117]Wafundishe wanafunzi kwa lugha wanayoielewa, au wafundishe waielewe lugha ya kufundishia/kujifunzia waimudu.

[emoji117]Funguka: fungua macho na masikio, kuwa wakweli, fanya maamuzi hata kama ni magumu; acha kujifanya hamjui kiini cha tatizo.

Kama kweli hamjui, basi tokeni nje ya viyoyozi mkaujue ukweli huko shuleni na mitaani.
[emoji1374][emoji1666][emoji1374]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye mbona amegoma kujiajiri,halafu anachoma soko la karume anawaambia wenzake wajiajiri
 
CDM Wapumbavu sana, nilipinga huyu jamaa kupewa uenyekiti wa BAVICHA, nikatukanwa!! Mbowe sababu yupo kule akalazimisha awe Mkiti! Poleni sana wanaCDM, Mbowe anawapelekesha sana
 
Sawa watufanyie unafuu kidogo ya reseni ya udereva.
Reseni kisheria ilikuwa 40,000 ila kuipata ilikuwa shughuli Sasa hivi wamepandisha ni 70,000 na bado kuipata lazma utumie zaidi ya 150,000
Nakuunga mkono mkuu,....gharama za kupata leseni ni kubwa mno.
 
Kuna kwa ukweli bhna Kuna watu nawafahamu wanchagua San Kaz mtu anaitwa kwenda kupiga simu msharaha laki tano anaukatah .
Mwingine ninae hapa kakatah kwenda mtwara kwa dangote kisa mshara wa million na laki nne kagomeaaa. Naona aibu mm mtu Ana CPA miaka mitatu anatafuta kazi
 
Kuna kwa ukweli bhna Kuna watu nawafahamu wanchagua San Kaz mtu anaitwa kwenda kupiga simu msharaha laki tano anaukatah .
Mwingine ninae hapa kakatah kwenda mtwara kwa dangote kisa mshara wa million na laki nne kagomeaaa. Naona aibu mm mtu Ana CPA miaka mitatu anatafuta kazi
kupiga simu sijaelewa. hebu mimi nipe hyo connection ya kwanza
 
Back
Top Bottom