Kuna Tafakuri.
Katambi na Wenzake mmekazania mitaala ya kuwafundisha:
[emoji117]Quadratic equations,
[emoji117]Mali Empire,
[emoji117]Mito ya China,
[emoji117]The meaning of a pronoun,
[emoji117] Periodic table,
nk, nk
[emoji2958]
.
Kisha tunawalaumu kuwa wanachagua kazi, hawana mbinu za maisha ya kujiajiri na kujitegemea.
[emoji849]
.
Sisi walio mijini tunawaambia wakae vikaoni wakalime, tena kwa kumwagilia.
Wakimwagilia kwa maji ya mto tunawakamata.
[emoji848]
Bahati mbaya, dunia haisimami, na hakuna wa kushuka![emoji25]
[emoji116][emoji116][emoji2971][emoji116][emoji116]
[emoji117]Fumua na kubadili mitaala ya elimu.
[emoji117]Unda mihutasari yenye mtazamo wa Kitanzania kwa Watanzania wa Tanzania ya leo na kesho.
[emoji117]Fundisha yenye maana, yanayowajenga kwa maisha yajayo.
[emoji117] Acheni woga wa "Waupe watatununia".
[emoji117]"Elimu ya Msingi" na "Elimu Msingi" ziwe za msingi kweli, na ziijenge misingi imara ya elimu.
[emoji117]Wafundishe wanafunzi kwa lugha wanayoielewa, au wafundishe waielewe lugha ya kufundishia/kujifunzia waimudu.
[emoji117]Funguka: fungua macho na masikio, kuwa wakweli, fanya maamuzi hata kama ni magumu; acha kujifanya hamjui kiini cha tatizo.
Kama kweli hamjui, basi tokeni nje ya viyoyozi mkaujue ukweli huko shuleni na mitaani.
[emoji1374][emoji1666][emoji1374]
Sent using
Jamii Forums mobile app