Paul Christian Makonda ni mmoja kati ya viongozi wengi ambao ni bora Tanzania

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.

Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .

Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
 
Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Yes,
the gentleman is among very brilliant young political leaders we have as a nation.

he is hardworking man, honest and always eager to learn more :NoGodNo:
 
Kati ya VIONGOZI matahira na wajinga basi anaweza kuwa namba 1!!. Na sijui wanatumia vigezo gani kumpa uongozi!!. Makonda kwa jamii ya watu waliostaarabika hawezi hata kuwa mwenyekiti wa mtaa!.
Acha chuki ndugu yangu. Kwani unatatizo gani? Inamaana wewe tu ndo huoni KAZI nzuri anazofanya Makonda, au stress zinakusumbua aisee
 
Mnatakiwa mtaje pia na majina yenu kamili na namba za kadi ya chama. Mnaweza kukumbukwa kwenye teuzi .

Bila ivyo mtaishia kusifu na kuabudu na kujigaraza chini namna hii pasipo faida yoyote.

Kama unaweza kujitoa akili namna hii toa majina yako na namba ya kadi mkuu ili ukumbukwe maana sifa za uteuzi unazo ccm wanahitaji watu wenye akili na uthubutu kama nyie .
 
Mimi ni mtumishi wa umma tayari
 
Naunga Mkono kwa 100% na nilishashaandika sana juu ya Karama kubwa ya uongozi aliyonayo Mheshimiwa Paul Makonda Mwamba wa kaskazini na Jabali la Siasa. Ni miongoni Mwa Hazina chache sana za Vijana tulizonazo hapa Nchini
 
Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.

Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .

Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Asante kwa hili, tena bora umesema wewe, tungesema sisi tungeitwa chawa...!

P.

Karibu Maktaba yangu ya Konda Boy!
 
Acha kutumia vibaya neno "uongozi bora" juu ya kituko cha ccm - makonda.
 
Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.

Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .

Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Wahuni 72:3
 
Pole kwa kuzaliwa kwenye familia masikini na ukiwa huna akili nzuri kulikokupelekea kutokuwa na uwezo wa kujitegemea zaidi ya kutegemea kulamba makalio ya wenye nafasi.
 
Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.

Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .

Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Huyu chawa wala si kiongozi isipokuwa kwa machawa kama mleta uzi. Huyu hafai hata kuongoza kundi la inzi achia mbali kujiongoza mwenyewe na masaburi yake makubwa kama shoogaa hata sijui kama haaaliwii huyu mwana hizaayaa.
 
Asante kwa hili, tena bora umesema wewe, tungesema sisi tungeitwa chawa...!

P.

Karibu Maktaba yangu ya Konda Boy!
Kwani mzee Paskali umeacha lini uchwa na kkuwaramba makkalio hao machawa wenzako ili wakutupie japo makandokando ya ulaji wao? Mwansheria mzima japo ni wa OUT unakuwa hivi!!!!
 
Back
Top Bottom