RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Ile amsha amsha akiwa mwenezi WA CCM taifa ilibamba sana!!!Leo kapanda mkokoteni,kesho baiskeli full sarakasi!!!
Ni Daud Albert Bashite.Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.
Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .
Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Konda Boy sio kipenzi changu, bali namkubali kwa uwezo wake usio wa kawaida, huyu mtu ana upako fulani.Mimi binafsi sijawahi kumkubari Makonda kipenzi cha Mzee Pascal Mayalla
Haha yeye pia ni binadamu, hakuna mkamilifu, hivyo anaweza kufanya makosa.DAB ana ushenzi mwingi sana huwezi kumsafisha kirahisi picha linaanza kaingia Studio kwa waandishi akiwa na Polisi wenye mitutu ya bunduki hakuishia hapo akalazimisha kile anachokitaka yeye kifanywe na hao waandishi km vile kituo ni cha kwake au cha Baba yake mzazi kumbe sio hivyo hakuishia hapo akafanya na ushenzi mwingine mbaya zaidi wa kutengeneza tukio la uongo kumchafua tu mtu bila sababu zenye mashiko, usidhani tumemsahau halafu leo wewe unakuja hapa kutuambia nini unafikiri tumesahau au unataka tufukue kaburi la Faustine Ndugulile?
DAB aligombana na Ghalib akataka kupigana na Salah wakiwa Gym wewe unataka kusemaje akahamishwa Dar akapelekwa mkoani? Angalia na matukio usidhani tumemsahau leo unakuja kusemaje, DAB anawatukana na kuwasema vibaya viongozi wa dini bila aibu na wala hana soni usoni kwenye uso wake hana wewe unataka kusemaje?
Nimewataja kwasababu Wana deserve kupewa hongera, Mm tayar niliteuliwa kuwa mtumishi wa ummaRiz1, Bashite, mkwe, hawa umewataja ili wakufikirie kukupa teuzi au Takrima?
Chawaz mmepitiliza sasa mko kuwa Kunguni. Lol
Uongooo!!Nimewataja kwasababu Wana deserve kupewa hongera, Mm tayar niliteuliwa kuwa mtumishi wa umma
Uongo katika kipengere kipiUongooo!!
Vyote kwa Pa1Uongo katika kipengere kipi
1. Utendaji KAZI wa hao watumishi niliowataja.
2. Mimi kuwa mteule kama mtumishi wa umma?
Haya,Vyote kwa Pa1
SawaHaya,
ni haki Yako kupinga Kila kitu
Catombwe ....***** wewe!.Acha chuki ndugu yangu. Kwani unatatizo gani? Inamaana wewe tu ndo huoni KAZI nzuri anazofanya Makonda, au stress zinakusumbua aisee
Si kwelil. Kuna watu ******* wanajiona wako sawa wakati hawako sawa sawa na machawa. Kama tutatumia rationale hii, tutapoteza wengi ukiwemo wewe. Ukubali kuwa unahangaishwa na njaa baada ya kutojiandaa kikamilifu kustaafu mwanangu Pasko. Ni ushauri wa bure. Kama unaweza niPM nikupe mbinu bora za kuishi bila kuwa chawa wala kujidhalilisha mzee mwenzngu nkwingwa. Pelagi ng'wana masala.Mtu wewe mwenyewe ukijijua ukoje, inatosha!, haijalishi watu wanakuonaje au wanakudhaniaje, let them think, hivyo wanavyodhania and I dont have to justify myself to anybody!
P
Poa. Nashangaa sikujui kwa vile tuko nyumba ya tatu toka kwa Mwalimu tangu zama zile hadi sasa!!Kuna wengi kama wewe hamuijui familia ya Mwalimu!, by the time tunahamia Mikocheni, Mako na Mada waliishaondoka Msasani!
Nimesoma Olevel Tambaza na mtoto wa Nyerere early 80s, Mako nimemfahamia Arusha late 80s tuka bond!. Mada nimemfahamia nikiwa TSJ, na nikawa MC wa harusi ya Binti Nyerere!, Mwalimu nimekuja kumfanyia kazi post 1995-1998.
P.
Kwa vile nyinyi ni chawa binadamu wa samuya, mnazeeka pale mnapofikia umri wa kustaafu kisheria. Simpo. kumbe ulikuwa hujui. Hata hivyo, wapo chawa mavii na ving'ang'anizi kama kabundi na wahasira. Hawa hadi warejeshe namba kama lukuuuviii kkkHivi chawa wanazeeka baada ya umri gani?
Huwezi kunijua kwasababu tulikuwa wengi,na hapo Msasani kulikuwa na ndugu wengi,unamjua mtoto wa hapo aliyesoma Tambaza?, tulikuwa nae darasa moja!Kwa majirani ambapo tulikuwa tunakwenda ni kwa Naburi, Simbeye,Bert Shacland mpaka kule kwa Kawawa.Poa. Nashangaa sikujui kwa vile tuko nyumba ya tatu toka kwa Mwalimu tangu zama zile hadi sasa!!
Chuki unazo wewe na wivu unao wewe.Punguza chuki na wivu