Paul Christian Makonda ni mmoja kati ya viongozi wengi ambao ni bora Tanzania

Huwezi kunijua kwasababu tulikuwa wengi,na hapo Msasani kulikuwa na ndugu wengi,unamjua mtoto wa hapo aliyesoma Tambaza?, tulikuwa nae darasa moja!Kwa majirani ambapo tulikuwa tunakwenda ni kwa Naburi, Simbeye,Bert Shacland mpaka kule kwa Kawawa.

P
Zamani, hamuwezi kuelewana! Kina Cletus Shigella mabembeani, kina Edo, late frank, Deo the Mtuis, kina Magani, kina.....
 
Hata shetani tu ana mashabiki tena wengi sana sasa Makonda ndiye atakosa.

Muulizeni kwa nini hatakiwi kukanyaga ardhi ya Marekani.

Pia muulizeni kwa nini alitaka kumuua Tundu Lissu.

Tunasubiri majibu yake.
 
Yes,
the gentleman is among very brilliant young political leaders we have as a nation.

he is hardworking man, honest and always eager to learn more :NoGodNo:
"EAGER ni nini
Andika kwa kiswahili japo kibovu
 
"EAGER ni nini
Andika kwa kiswahili japo kibovu
Gentleman,
unaweza kuwaandikia walimu kwenye majukwaa husika wakusaidie maana ya unachohitaji kufahamu na itapendeza zaidi 🐒
 
Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.

Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .

Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Kwa ufupi kama una akili timamu tuambie hapa makonda alishawahi kufanya kipi Cha maana hapa nchini?
Siyo kweli kwamba aliiba vyeti vya watu
 
Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.

Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .

Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
BORA KWA KUWA NA MATAKO MAKUBWA
 
Attachments

  • Screenshot_20261007-205930.png
    Screenshot_20261007-205930.png
    155.5 KB · Views: 3
Mrudie Mungu wako mapema ingali unanguvu
Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.

Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .

Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
 
Attachments

  • Screenshot_20211029-110122.png
    Screenshot_20211029-110122.png
    559.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom