Paul Christian Makonda ni mmoja kati ya viongozi wengi ambao ni bora Tanzania

Paul Christian Makonda ni mmoja kati ya viongozi wengi ambao ni bora Tanzania

Mnatakiwa mtaje pia na majina yenu kamili na namba za kadi ya chama. Mnaweza kukumbukwa kwenye teuzi .

Bila ivyo mtaishia kusifu na kuabudu na kujigaraza chini namna hii pasipo faida yoyote.

Kama unaweza kujitoa akili namna hii toa majina yako na namba ya kadi mkuu ili ukumbukwe maana sifa za uteuzi unazo ccm wanahitaji watu wenye akili na uthubutu kama nyie .
Pale Lumumba wote wanafahamika hawa chawa, ni sisi tu ndiyo hatufahamu majina yao halisi.
 
Paskali wewe ni chawa tena opportunist anayejipendekeza ili mkono uende kinywani. Kama ingewezekana, ningeweka uzi kuwaomba wana jf wapige kura kubaini kama wewe si chawa au la. Mie ni mtu mzima kama wewe. Tofauti ni kwamba mimi si chwa wala siendekezi njaa. Nilijipanga uzuri kabla ya kustaafu.Hivyo, sihangaishwi na tumbo hadi kuanza kuraamba makaalio ya vitoto vidogo au mama yao afugaye chawa. Kama hujui kuwa wewe ni chawa basi leo jua. Mbali na uchwa wewe ni muongo.Juzi, nilisoma makala yako ukidai umekulia Msasani na ulikuwa ukienda kucheza kwa Mwalimu Nyerere lakin ajabu kwenye makala hiyo hiyo ukaonyesha kutowajua Mada na Mako. Ni ajabu kweli kweli sijui huwa ukiandika huwa hujifanyii postmortem. Kuhusu uchwa sitasema mengi. Kama hukuwa unajua, sasa jua. Wewe ni chwa tena wa kiwango cha lami. Mtu mzima yeyote mwenye akili timamu na ethics hawezi kumsifia wala kumpigia debe Daudi Bashite. Kama kuna kosa alitutendea Magufuli ni kuumba viumbe kama Bashite and co. Kwa leo siandiki mengi. Kama utarithia, naweza kuweka uzi wa. maono kuhusiana nawe. Hata hivyo, nachelea kupalilia na kutangaza uchawa na kuwapa ujiko machawa.
FOA

Hivi chawa wanazeeka baada ya umri gani?
 
Hapana mimi nakupinga kwa sababu huyo Bwana ana ukosefu wa hekima, utu na anatumia nafasi zake kurubuni Watzanzania na kwa vile anajua Wabongo wengi ufahamu wao ni mdogo.

Unaposema Kiongozi bora ni vema kuzingatia vigezo vya mtu kuwa kiongozi bora sio kuja hapa na kuandika vitu bila kufanya utafiti wa kutosha na kuongozwa na Uchawa na mihemko.
Amewarubuni nini?
Ambacho sisi hatukijui
 
Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.

Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .

Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Watu wa hovyo husifia vitu vya hovyo. Kuna wewe, Tlaatlaah, Lucas na wengine wengi wazee wa Buku7. Mfano mimi nipewe sifa na wewe au watu wa genge lako unakuwa umenishusha kwa kiwango kikubwa sana
 
Watu wa hovyo husifia vitu vya hovyo. Kuna wewe, Tlaatlaah, Lucas na wengine wengi wazee wa Buku7. Mfano mimi nipewe sifa na wewe au watu wa genge lako unakuwa umenishusha kwa kiwango kikubwa sana
Huwezi kupewa sifa kwasababu hakuna sababu za wewe kupewa sifa, hakuna Chochote ulichokifanya kwenye jamii
 
huna haja ya kua na wivu, makasiriko wala kupata mihemko dhidi ya uchapakazi, umahiri au weledi wa miongoni mwa viongozi vijana wenye maono na uthubutu Tanzania, Paul Christian Makonda.

Unaweza kumsifia kiongozi kijana yeyote yule hodari Tanzania kadiri ya maoni yako huru jukwaani gentleman,

usijifungie fikra , mawazo au mtazamo wako huru kwa chuki binafsi Plz gentleman 🐒
Ila chawa mnajiweza sana. Yaani unajitoa ufahamu na kumsifia bashite 🤔🤔
 
Ni kiongozi bora katika kigezo gani maana kuropoka nako ni kipaji na overconfidence nayo ni ukichaa,kiongozi bora ni yule anaeongoza jamii kufikia hatima ya matakwa yao na sio kuongozwa kwa drama za kutengeneza,au mfano mwingine unakuta kiongozi anamdhalilisha mtumishi mwenzake mbele ya umma kisa kuna camera kwa majigambo au mengi unakuta wakiongea na wakandarasi na camera ziko on basi watatumia hiyo nafasi kama furaa na kuwakalipia ili tu aonekane anafanya kazi so huo ni uongozi bora?
 
Kwani wewe unaumizwa na kitu gani mpaka unapanik kiasi hiki
Mimi binafsi sijawahi kumkubari DAB kipenzi cha Mzee Pascal Mayalla ila yeye pia DAB anajijua mimi simkubari kabisa, DAB ana ushenzi mwingi sana huwezi kumsafisha kirahisi picha linaanza kaingia Studio kwa waandishi akiwa na Polisi wenye mitutu ya bunduki hakuishia hapo akalazimisha kile anachokitaka yeye kifanywe na hao waandishi km vile kituo ni cha kwake au cha Baba yake mzazi kumbe sio hivyo hakuishia hapo akafanya na ushenzi mwingine mbaya zaidi wa kutengeneza tukio la uongo kumchafua tu mtu bila sababu zenye mashiko, usidhani tumemsahau halafu leo wewe unakuja hapa kutuambia nini unafikiri tumesahau au unataka tufukue kaburi la Faustine Ndugulile?

DAB aligombana na Ghalib akataka kupigana na Salah wakiwa Gym wewe unataka kusemaje akahamishwa Dar akapelekwa mkoani? Angalia na matukio usidhani tumemsahau leo unakuja kusemaje, DAB anawatukana na kuwasema vibaya viongozi wa dini bila aibu na wala hana soni usoni kwenye uso wake hana wewe unataka kusemaje?
 
Mbali na uchwa wewe ni muongo.Juzi, nilisoma makala yako ukidai umekulia Msasani na ulikuwa ukienda kucheza kwa Mwalimu Nyerere lakin ajabu kwenye makala hiyo hiyo ukaonyesha kutowajua Mada na Mako. Ni ajabu kweli kweli sijui huwa ukiandika huwa hujifanyii postmortem.
Kuna wengi kama wewe hamuijui familia ya Mwalimu!, by the time tunahamia Mikocheni, Mako na Mada waliishaondoka Msasani!

Nimesoma Olevel Tambaza na mtoto wa Nyerere early 80s, Mako nimemfahamia Arusha late 80s tuka bond!. Mada nimemfahamia nikiwa TSJ, na nikawa MC wa harusi ya Binti Nyerere!, Mwalimu nimekuja kumfanyia kazi post 1995-1998.

P.
 
Lile sakata lake la jezi ya timu ya socca ya Taifa limefikia wapi?
 
Paskali wewe ni chawa tena opportunist anayejipendekeza ili mkono uende kinywani. Kama ingewezekana, ningeweka uzi kuwaomba wana jf wapige kura kubaini kama wewe si chawa au la.
Mtu wewe mwenyewe ukijijua ukoje, inatosha!, haijalishi watu wanakuonaje au wanakudhaniaje, let them think, hivyo wanavyodhania and I dont have to justify myself to anybody!
P
 
Back
Top Bottom