Paul Christian Makonda ni mmoja kati ya viongozi wengi ambao ni bora Tanzania

Asante kwa hili, tena bora umesema wewe, tungesema sisi tungeitwa chawa...!

P.

Karibu Maktaba yangu ya Konda Boy!
Asante sana 🙏🏼
 
Huyu chawa wala si kiongozi isipokuwa kwa machawa kama mleta uzi. Huyu hafai hata kuongoza kundi la inzi achia mbali kujiongoza mwenyewe na masaburi yake makubwa kama shoogaa hata sijui kama haaaliwii huyu mwana hizaayaa.
Hizo chuki zako zitakuua
 
Ulimaanisha kiongozi wa wahuni ?

D3AigW3XQAU9GQk.jpg
 
Kwani mzee Paskali umeacha lini uchwa na kkuwaramba makkalio hao machawa wenzako ili wakutupie japo makandokando ya ulaji wao? Mwansheria mzima japo ni wa OUT unakuwa hivi!!!!
Mimi najijua na wanaonijua vizuri pia wanajua, sio chawa na sijawahi kuwa chawa, mimi ni mkweli daima, mtu akifanya jambo kubwa, jema, zuri la kustahili pongezi, huwa napongeza, na mtu huyo huyo niliyempongeza, siku akifanya jambo baya la kustahili kumlaani, nalaani, akifanya jambo la kustahili kukosolewa, huwa nakosoa, machawa kazi yao ni kuimba tuu mapambio, huwezi kuwasikia wakiwa critical, mimi nasifu panapostahili sifa, na critical panapostahili critic, hivyo sio chawa!.

Tukubali tukatae, Makonda ana upako fulani wa ujasiri wa uthubutu usio wa kawaida!, akiwa UV CCM alimkosoa Lowassa wakati huo Lowassa ni PM, Lowassa alipigwa chini!.
Akiwa RC DSM aliwanyoosha mapapa wa mihadarati kwa kuwataja kwa majina, akaokoa vijana wetu.
Alipovamia Clouds, nilimlaani.
Alipokuwa mwenezi wa CCM, kuna kiongozi mkubwa tuu, alimkataa kuwa siwezi kufanya nae kazi, akaondolewa kwenye uenezi akapelekwa Arusha kuwa RC, kule akamshughulikia Mrisho Gambo, jimbo akalitwaa.
Akalamba uwaziri wetu, ni bosi wangu!.
Akamshughulikia kikamilifu yule kigogo alimbandua kwenye uenezi!
Kwa msio jua, aliyemuibukia mtu kwenye NEC na kutaka ajiuzulu, ni yeye, yule mtu alipogoma kujiuzulu, ni yeye akashauri apelekwe maadili, akapelekwa maadili, akagoma kutoa ushirikiano, ikaamuliwa atimuliwe chamani, kabla hajatimuliwa akaamua kujiuzulu mwenyewe akidhani itasaidia, haikusaidia, bado alifutwa uanachama!.

Hivyo huyu dogo muoneni hivi hivi tuu, sio mtu wa mchezo mchezo, na kuelekea 2030, he is a man to watch very closely!.
P
 
Paskali wewe ni chawa tena opportunist anayejipendekeza ili mkono uende kinywani. Kama ingewezekana, ningeweka uzi kuwaomba wana jf wapige kura kubaini kama wewe si chawa au la. Mie ni mtu mzima kama wewe. Tofauti ni kwamba mimi si chwa wala siendekezi njaa. Nilijipanga uzuri kabla ya kustaafu.Hivyo, sihangaishwi na tumbo hadi kuanza kuraamba makaalio ya vitoto vidogo au mama yao afugaye chawa. Kama hujui kuwa wewe ni chawa basi leo jua. Mbali na uchwa wewe ni muongo.Juzi, nilisoma makala yako ukidai umekulia Msasani na ulikuwa ukienda kucheza kwa Mwalimu Nyerere lakin ajabu kwenye makala hiyo hiyo ukaonyesha kutowajua Mada na Mako. Ni ajabu kweli kweli sijui huwa ukiandika huwa hujifanyii postmortem. Kuhusu uchwa sitasema mengi. Kama hukuwa unajua, sasa jua. Wewe ni chwa tena wa kiwango cha lami. Mtu mzima yeyote mwenye akili timamu na ethics hawezi kumsifia wala kumpigia debe Daudi Bashite. Kama kuna kosa alitutendea Magufuli ni kuumba viumbe kama Bashite and co. Kwa leo siandiki mengi. Kama utarithia, naweza kuweka uzi wa. maono kuhusiana nawe. Hata hivyo, nachelea kupalilia na kutangaza uchawa na kuwapa ujiko machawa.
FOA
 
Mimi najijua na wanaonijua vizuri pia wanajua, sio chawa na sijawahi kuwa chawa, mimi ni mkweli daima, mtu akifanya jambo kubwa, jema, zuri la kustahili pongezi, huwa napongeza, na mtu huyo huyo niliyempongeza, siku akifanya jambo baya la kustahili kumlaani, nalaani, akifanya jambo la kustahili kukosolewa, huwa nakosoa, machawa kazi yao ni kuimba tuu mapambio, huwezi kuwasikia wakiwa critical, mimi nasifu panapostahili sifa, na critical panapostahili critic, hivyo sio chawa!.

Tukubali tukatae, Makonda ana upako fulani wa ujasiri wa uthubutu usio wa kawaida!, akiwa UV CCM alimkosoa Lowassa wakati huo Lowassa ni PM, Lowassa alipigwa chini!.
Akiwa RC DSM aliwanyoosha mapapa wa mihadarati kwa kuwataja kwa majina, akaokoa vijana wetu.
Alipovamia Clouds, nilimlaani.
Alipokuwa mwenezi wa CCM, kuna kiongozi mkubwa tuu, alimkataa kuwa siwezi kufanya nae kazi, akaondolewa kwenye uenezi akapelekwa Arusha kuwa RC, kule akamshughulikia Mrisho Gambo, jimbo akalitwaa.
Akalamba uwaziri wetu, ni bosi wangu!.
Akamshughulikia kikamilifu yule kigogo alimbandua kwenye uenezi!
Kwa msio jua, aliyemuibukia mtu kwenye NEC na kutaka ajiuzulu, ni yeye, yule mtu alipogoma kujiuzulu, ni yeye akashauri apelekwe maadili, akapelekwa maadili, akagoma kutoa ushirikiano, ikaamuliwa atimuliwe chamani, kabla hajatimuliwa akaamua kujiuzulu mwenyewe akidhani itasaidia, haikusaidia, bado alifutwa uanachama!.

Hivyo huyu dogo muoneni hivi hivi tuu, sio mtu wa mchezo mchezo, na kuelekea 2030, he is a man to watch very closely!.
P
Fisadi makonda ana biashara gani au kipato cha kumiliki mali za mabilioni sasa, hata JPM alimfukuza mwishoni alijua ni mwizi tuu mtu mwenye tamaa ya madaraka fisadi,mzalendo wa kweli alikuwa magufuli tuu ingawaje siasa zake za kishenzi Zina tucost sasa
 
Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.

Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .

Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
QMMAYO
 
Imagine unafungua jf unakutana na Uzi huu I'm totally annoyed u ruined my day.
 
Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.

Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .

Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Hapana mimi nakupinga kwa sababu huyo Bwana ana ukosefu wa hekima, utu na anatumia nafasi zake kurubuni Watzanzania na kwa vile anajua Wabongo wengi ufahamu wao ni mdogo.

Unaposema Kiongozi bora ni vema kuzingatia vigezo vya mtu kuwa kiongozi bora sio kuja hapa na kuandika vitu bila kufanya utafiti wa kutosha na kuongozwa na Uchawa na mihemko.
 
Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.

Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .

Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Kampeni mmezianza mapema mno au labda mmeamua kupima kina cha maji?
Makonda ni takataka yenye makandokando mengi mno, sidhani kama anafaa hata kuongoza kundi la wanyama.
Pathetically ikaongezea uozo mwingine Ridhiwani ambaye bila mbeleko ya baba yake hata uongozi wa kijiji asingeweza kupewa, he has never done anything tangible zaidi ya kuwa implicated kwenye mitandao ya biashara haramu za madawa ya kulevya. Mchengerwa naye ni clown mwingine anayetegemea nguvu ya mbeleko, kipawa cha kuongoza ni sifuri.
 
Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.

Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .

Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Bora kwa kusimamia magenge ya utekaji na mauaji.
 
Umehamia kwa makonda sasa baada ya nchimbi kupotezwa, chawa ni kama nzi na mavi 🤮
huna haja ya kua na wivu, makasiriko wala kupata mihemko dhidi ya uchapakazi, umahiri au weledi wa miongoni mwa viongozi vijana wenye maono na uthubutu Tanzania, Paul Christian Makonda.

Unaweza kumsifia kiongozi kijana yeyote yule hodari Tanzania kadiri ya maoni yako huru jukwaani gentleman,

usijifungie fikra , mawazo au mtazamo wako huru kwa chuki binafsi Plz gentleman 🐒
 
Wapiga deals za mama!, mama yao akitaka kupeleka mzigo sehemu lazima awatangulize wakafungue njia na kuweka mazingira, same narrative same modus operandi, angalia nyendo zao na upigaji uliofuatia baada ya kupewa mikoba
 
Back
Top Bottom