instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Yes,Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.
Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .
Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
ExactlyYes,
the gentleman is among very brilliant young political leaders we have as a nation.
he is hardworking man, honest and always eager to learn more
Acha chuki ndugu yangu. Kwani unatatizo gani? Inamaana wewe tu ndo huoni KAZI nzuri anazofanya Makonda, au stress zinakusumbua aiseeKati ya VIONGOZI matahira na wajinga basi anaweza kuwa namba 1!!. Na sijui wanatumia vigezo gani kumpa uongozi!!. Makonda kwa jamii ya watu waliostaarabika hawezi hata kuwa mwenyekiti wa mtaa!.
Kwasababu una chuki/roho ya kwaninisijawah muelewa
Mimi ni mtumishi wa umma tayariMnatakiwa mtaje pia na majina yenu kamili na namba za kadi ya chama. Mnaweza kukumbukwa kwenye teuzi .
Bila ivyo mtaishia kusifu na kuabudu na kujigaraza chini namna hii pasipo faida yoyote.
Kama unaweza kujitoa akili namna hii toa majina yako na namba ya kadi mkuu ili ukumbukwe maana sifa za uteuzi unazo ccm wanahitaji watu wenye akili na uthubutu kama nyie .
Asante kwa hili, tena bora umesema wewe, tungesema sisi tungeitwa chawa...!Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.
Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .
Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Acha kutumia vibaya neno "uongozi bora" juu ya kituko cha ccm - makonda.Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.
Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .
Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Wahuni 72:3Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.
Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .
Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Pole kwa kuzaliwa kwenye familia masikini na ukiwa huna akili nzuri kulikokupelekea kutokuwa na uwezo wa kujitegemea zaidi ya kutegemea kulamba makalio ya wenye nafasi.Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.
Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .
Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Huyu chawa wala si kiongozi isipokuwa kwa machawa kama mleta uzi. Huyu hafai hata kuongoza kundi la inzi achia mbali kujiongoza mwenyewe na masaburi yake makubwa kama shoogaa hata sijui kama haaaliwii huyu mwana hizaayaa.Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.
Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .
Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Kwani mzee Paskali umeacha lini uchwa na kkuwaramba makkalio hao machawa wenzako ili wakutupie japo makandokando ya ulaji wao? Mwansheria mzima japo ni wa OUT unakuwa hivi!!!!Asante kwa hili, tena bora umesema wewe, tungesema sisi tungeitwa chawa...!
P.
Karibu Maktaba yangu ya Konda Boy!
- Amini Nawaambieni , Pamoja na Mapungufu Yake Yote ya Kibinadamu, Mtu Huyu Ana Mungu Ndani Yake!, Anaongozwa na Roho wa Mungu!. Mshuhudie Hapa!.
- Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
- Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli
- Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
- Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
- Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
- Madawa ya Kulevya: Kumbe Makonda Alizuiwa Kutaja Majina!. Anaamini Uwazi, Atunge By-Law Ataje Majina
- Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
- Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze
- Pascal Mayalla ampongeza Makonda kuteuliwa mwenezi NEC taifa. Ampigia simu kumpongeza
- Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia
- Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!
- Makonda, only the truth will set you free!
- Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!
- Kutoa siri za Nchi nje ya Nchi ni Uhaini. Maofisa Hawa Wametoa Siri, Wakamatwe, Washitakiwe!
- Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!
- Je, Tanzania tunahitaji viongozi gani?. wajinga wachapakazi, au mangi meza wenye vyeti?.
- Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!