instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
- Thread starter
-
- #21
Asante sana 🙏🏼Asante kwa hili, tena bora umesema wewe, tungesema sisi tungeitwa chawa...!
P.
Karibu Maktaba yangu ya Konda Boy!
- Amini Nawaambieni , Pamoja na Mapungufu Yake Yote ya Kibinadamu, Mtu Huyu Ana Mungu Ndani Yake!, Anaongozwa na Roho wa Mungu!. Mshuhudie Hapa!.
- Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
- Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli
- Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
- Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
- Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
- Madawa ya Kulevya: Kumbe Makonda Alizuiwa Kutaja Majina!. Anaamini Uwazi, Atunge By-Law Ataje Majina
- Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
- Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze
- Pascal Mayalla ampongeza Makonda kuteuliwa mwenezi NEC taifa. Ampigia simu kumpongeza
- Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia
- Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!
- Makonda, only the truth will set you free!
- Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!
- Kutoa siri za Nchi nje ya Nchi ni Uhaini. Maofisa Hawa Wametoa Siri, Wakamatwe, Washitakiwe!
- Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!
- Je, Tanzania tunahitaji viongozi gani?. wajinga wachapakazi, au mangi meza wenye vyeti?.
- Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Punguza chuki na wivuMakonda ana uongozi Bora upi? Wajinga kama nyie ndio mmeifanya Tanzania kuwa nchi ya kisanii.
Hizo chuki zako zitakuuaHuyu chawa wala si kiongozi isipokuwa kwa machawa kama mleta uzi. Huyu hafai hata kuongoza kundi la inzi achia mbali kujiongoza mwenyewe na masaburi yake makubwa kama shoogaa hata sijui kama haaaliwii huyu mwana hizaayaa.
Mimi najijua na wanaonijua vizuri pia wanajua, sio chawa na sijawahi kuwa chawa, mimi ni mkweli daima, mtu akifanya jambo kubwa, jema, zuri la kustahili pongezi, huwa napongeza, na mtu huyo huyo niliyempongeza, siku akifanya jambo baya la kustahili kumlaani, nalaani, akifanya jambo la kustahili kukosolewa, huwa nakosoa, machawa kazi yao ni kuimba tuu mapambio, huwezi kuwasikia wakiwa critical, mimi nasifu panapostahili sifa, na critical panapostahili critic, hivyo sio chawa!.Kwani mzee Paskali umeacha lini uchwa na kkuwaramba makkalio hao machawa wenzako ili wakutupie japo makandokando ya ulaji wao? Mwansheria mzima japo ni wa OUT unakuwa hivi!!!!
Umehamia kwa makonda sasa baada ya nchimbi kupotezwa, chawa ni kama nzi na mavi 🤮Yes,
the gentleman is among very brilliant young political leaders we have as a nation.
he is hardworking man, honest and always eager to learn more
Paskali wewe ni chawa tena opportunist anayejipendekeza ili mkono uende kinywani. Kama ingewezekana, ningeweka uzi kuwaomba wana jf wapige kura kubaini kama wewe si chawa au la. Mie ni mtu mzima kama wewe. Tofauti ni kwamba mimi si chwa wala siendekezi njaa. Nilijipanga uzuri kabla ya kustaafu.Hivyo, sihangaishwi na tumbo hadi kuanza kuraamba makaalio ya vitoto vidogo au mama yao afugaye chawa. Kama hujui kuwa wewe ni chawa basi leo jua. Mbali na uchwa wewe ni muongo.Juzi, nilisoma makala yako ukidai umekulia Msasani na ulikuwa ukienda kucheza kwa Mwalimu Nyerere lakin ajabu kwenye makala hiyo hiyo ukaonyesha kutowajua Mada na Mako. Ni ajabu kweli kweli sijui huwa ukiandika huwa hujifanyii postmortem. Kuhusu uchwa sitasema mengi. Kama hukuwa unajua, sasa jua. Wewe ni chwa tena wa kiwango cha lami. Mtu mzima yeyote mwenye akili timamu na ethics hawezi kumsifia wala kumpigia debe Daudi Bashite. Kama kuna kosa alitutendea Magufuli ni kuumba viumbe kama Bashite and co. Kwa leo siandiki mengi. Kama utarithia, naweza kuweka uzi wa. maono kuhusiana nawe. Hata hivyo, nachelea kupalilia na kutangaza uchawa na kuwapa ujiko machawa.Mimi najijua na wanaonijua vizuri pia wanajua, sio chawa na sijawahi kuwa chawa, mimi ni mkweli daima, mtu akifanya jambo kubwa, jema, zuri la kustahili pongezi, huwa napongeza, na mtu huyo huyo niliyempongeza, siku akifanya jambo baya la kustahili kumlaani, nalaani, akifanya jambo la kustahili kukosolewa, huwa nakosoa, machawa kazi yao ni kuimba tuu mapambio, huwezi kuwasikia wakiwa critical, mimi nasifu panapostahili sifa, na critical panapostahili critic, hivyo sio chawa!.
Tukubali tukatae, Makonda ana upako fulani wa ujasiri wa uthubutu usio wa kawaida!, akiwa UV CCM alimkosoa Lowassa wakati huo Lowassa ni PM, Lowassa alipigwa chini!.
Akiwa RC DSM aliwanyoosha mapapa wa mihadarati kwa kuwataja kwa majina, akaokoa vijana wetu.
Alipovamia Clouds, nilimlaani.
Alipokuwa mwenezi wa CCM, kuna kiongozi mkubwa tuu, alimkataa kuwa siwezi kufanya nae kazi, akaondolewa kwenye uenezi akapelekwa Arusha kuwa RC, kule akamshughulikia Mrisho Gambo, jimbo akalitwaa.
Akalamba uwaziri wetu, ni bosi wangu!.
Akamshughulikia kikamilifu yule kigogo alimbandua kwenye uenezi!
Kwa msio jua, aliyemuibukia mtu kwenye NEC na kutaka ajiuzulu, ni yeye, yule mtu alipogoma kujiuzulu, ni yeye akashauri apelekwe maadili, akapelekwa maadili, akagoma kutoa ushirikiano, ikaamuliwa atimuliwe chamani, kabla hajatimuliwa akaamua kujiuzulu mwenyewe akidhani itasaidia, haikusaidia, bado alifutwa uanachama!.
Hivyo huyu dogo muoneni hivi hivi tuu, sio mtu wa mchezo mchezo, na kuelekea 2030, he is a man to watch very closely!.
P
Fisadi makonda ana biashara gani au kipato cha kumiliki mali za mabilioni sasa, hata JPM alimfukuza mwishoni alijua ni mwizi tuu mtu mwenye tamaa ya madaraka fisadi,mzalendo wa kweli alikuwa magufuli tuu ingawaje siasa zake za kishenzi Zina tucost sasaMimi najijua na wanaonijua vizuri pia wanajua, sio chawa na sijawahi kuwa chawa, mimi ni mkweli daima, mtu akifanya jambo kubwa, jema, zuri la kustahili pongezi, huwa napongeza, na mtu huyo huyo niliyempongeza, siku akifanya jambo baya la kustahili kumlaani, nalaani, akifanya jambo la kustahili kukosolewa, huwa nakosoa, machawa kazi yao ni kuimba tuu mapambio, huwezi kuwasikia wakiwa critical, mimi nasifu panapostahili sifa, na critical panapostahili critic, hivyo sio chawa!.
Tukubali tukatae, Makonda ana upako fulani wa ujasiri wa uthubutu usio wa kawaida!, akiwa UV CCM alimkosoa Lowassa wakati huo Lowassa ni PM, Lowassa alipigwa chini!.
Akiwa RC DSM aliwanyoosha mapapa wa mihadarati kwa kuwataja kwa majina, akaokoa vijana wetu.
Alipovamia Clouds, nilimlaani.
Alipokuwa mwenezi wa CCM, kuna kiongozi mkubwa tuu, alimkataa kuwa siwezi kufanya nae kazi, akaondolewa kwenye uenezi akapelekwa Arusha kuwa RC, kule akamshughulikia Mrisho Gambo, jimbo akalitwaa.
Akalamba uwaziri wetu, ni bosi wangu!.
Akamshughulikia kikamilifu yule kigogo alimbandua kwenye uenezi!
Kwa msio jua, aliyemuibukia mtu kwenye NEC na kutaka ajiuzulu, ni yeye, yule mtu alipogoma kujiuzulu, ni yeye akashauri apelekwe maadili, akapelekwa maadili, akagoma kutoa ushirikiano, ikaamuliwa atimuliwe chamani, kabla hajatimuliwa akaamua kujiuzulu mwenyewe akidhani itasaidia, haikusaidia, bado alifutwa uanachama!.
Hivyo huyu dogo muoneni hivi hivi tuu, sio mtu wa mchezo mchezo, na kuelekea 2030, he is a man to watch very closely!.
P
QMMAYOMakonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.
Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .
Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Wewe ni msenge tu kama Bashite, lazima uunge mkonoNaunga Mkono kwa 100% na nilishashaandika sana juu ya Karama kubwa ya uongozi aliyonayo Mheshimiwa Paul Makonda Mwamba wa kaskazini na Jabali la Siasa. Ni miongoni Mwa Hazina chache sana za Vijana tulizonazo hapa Nchini
Imagine unafungua jf unakutana na Uzi huu I'm totally annoyed u ruined my day.Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.
Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .
Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Naunga mkono hojaQMMAYO
Huyu instinct desire atakuwa naye analiwa makalio kama BashiteImagine unafungua jf unakutana na Uzi huu I'm totally annoyed u ruined my day.
Hapana mimi nakupinga kwa sababu huyo Bwana ana ukosefu wa hekima, utu na anatumia nafasi zake kurubuni Watzanzania na kwa vile anajua Wabongo wengi ufahamu wao ni mdogo.Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.
Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .
Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Kampeni mmezianza mapema mno au labda mmeamua kupima kina cha maji?Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.
Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .
Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
Bora kwa kusimamia magenge ya utekaji na mauaji.Makonda ni mmoja kati ya viongozi wanaotumia vyema vipawa vyao kuwahudumia watanzania, naweza nikamuongeza, Rizione Kikwete, Mchengerwa, na wengine wengi siwezi kuwaandika hapa.
Hao ni kati ya vijana wenye uzalendo mkubwa kwa Tanzania kuliko hata pengine hawa wanaojiita wazee wa TEC .
Hawa viongozi Bora wakiongozwa na Paul Makonda, Kauli zao, matendo Yao ya kiutumishi yanaacha alama za utumishi uliotukuka wa kuwatumikia watanzania.
huna haja ya kua na wivu, makasiriko wala kupata mihemko dhidi ya uchapakazi, umahiri au weledi wa miongoni mwa viongozi vijana wenye maono na uthubutu Tanzania, Paul Christian Makonda.Umehamia kwa makonda sasa baada ya nchimbi kupotezwa, chawa ni kama nzi na mavi 🤮