Paul Christian Makonda ni mmoja kati ya viongozi wengi ambao ni bora Tanzania

Pale Lumumba wote wanafahamika hawa chawa, ni sisi tu ndiyo hatufahamu majina yao halisi.
 

Hivi chawa wanazeeka baada ya umri gani?
 
Amewarubuni nini?
Ambacho sisi hatukijui
 
Watu wa hovyo husifia vitu vya hovyo. Kuna wewe, Tlaatlaah, Lucas na wengine wengi wazee wa Buku7. Mfano mimi nipewe sifa na wewe au watu wa genge lako unakuwa umenishusha kwa kiwango kikubwa sana
 
Watu wa hovyo husifia vitu vya hovyo. Kuna wewe, Tlaatlaah, Lucas na wengine wengi wazee wa Buku7. Mfano mimi nipewe sifa na wewe au watu wa genge lako unakuwa umenishusha kwa kiwango kikubwa sana
Huwezi kupewa sifa kwasababu hakuna sababu za wewe kupewa sifa, hakuna Chochote ulichokifanya kwenye jamii
 
Ila chawa mnajiweza sana. Yaani unajitoa ufahamu na kumsifia bashite 🤔🤔
 
Ni kiongozi bora katika kigezo gani maana kuropoka nako ni kipaji na overconfidence nayo ni ukichaa,kiongozi bora ni yule anaeongoza jamii kufikia hatima ya matakwa yao na sio kuongozwa kwa drama za kutengeneza,au mfano mwingine unakuta kiongozi anamdhalilisha mtumishi mwenzake mbele ya umma kisa kuna camera kwa majigambo au mengi unakuta wakiongea na wakandarasi na camera ziko on basi watatumia hiyo nafasi kama furaa na kuwakalipia ili tu aonekane anafanya kazi so huo ni uongozi bora?
 
Kwani wewe unaumizwa na kitu gani mpaka unapanik kiasi hiki
Mimi binafsi sijawahi kumkubari DAB kipenzi cha Mzee Pascal Mayalla ila yeye pia DAB anajijua mimi simkubari kabisa, DAB ana ushenzi mwingi sana huwezi kumsafisha kirahisi picha linaanza kaingia Studio kwa waandishi akiwa na Polisi wenye mitutu ya bunduki hakuishia hapo akalazimisha kile anachokitaka yeye kifanywe na hao waandishi km vile kituo ni cha kwake au cha Baba yake mzazi kumbe sio hivyo hakuishia hapo akafanya na ushenzi mwingine mbaya zaidi wa kutengeneza tukio la uongo kumchafua tu mtu bila sababu zenye mashiko, usidhani tumemsahau halafu leo wewe unakuja hapa kutuambia nini unafikiri tumesahau au unataka tufukue kaburi la Faustine Ndugulile?

DAB aligombana na Ghalib akataka kupigana na Salah wakiwa Gym wewe unataka kusemaje akahamishwa Dar akapelekwa mkoani? Angalia na matukio usidhani tumemsahau leo unakuja kusemaje, DAB anawatukana na kuwasema vibaya viongozi wa dini bila aibu na wala hana soni usoni kwenye uso wake hana wewe unataka kusemaje?
 
Kuna wengi kama wewe hamuijui familia ya Mwalimu!, by the time tunahamia Mikocheni, Mako na Mada waliishaondoka Msasani!

Nimesoma Olevel Tambaza na mtoto wa Nyerere early 80s, Mako nimemfahamia Arusha late 80s tuka bond!. Mada nimemfahamia nikiwa TSJ, na nikawa MC wa harusi ya Binti Nyerere!, Mwalimu nimekuja kumfanyia kazi post 1995-1998.

P.
 
Lile sakata lake la jezi ya timu ya socca ya Taifa limefikia wapi?
 
Paskali wewe ni chawa tena opportunist anayejipendekeza ili mkono uende kinywani. Kama ingewezekana, ningeweka uzi kuwaomba wana jf wapige kura kubaini kama wewe si chawa au la.
Mtu wewe mwenyewe ukijijua ukoje, inatosha!, haijalishi watu wanakuonaje au wanakudhaniaje, let them think, hivyo wanavyodhania and I dont have to justify myself to anybody!
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…