Paul Christian Makonda ni mmoja kati ya viongozi wengi ambao ni bora Tanzania

Ni Daud Albert Bashite.
 
Chunga mgongo wako mkuu. Soon utavuliwa ubingwa. Uchawa mwisho wake ni mbaya. Elimu ya hapa n pale.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mimi binafsi sijawahi kumkubari Makonda kipenzi cha Mzee Pascal Mayalla
Konda Boy sio kipenzi changu, bali namkubali kwa uwezo wake usio wa kawaida, huyu mtu ana upako fulani.
Haha yeye pia ni binadamu, hakuna mkamilifu, hivyo anaweza kufanya makosa.
P
 
Riz1, Bashite, mkwe, hawa umewataja ili wakufikirie kukupa teuzi au Takrima?

Chawaz mmepitiliza sasa mko kuwa Kunguni. Lol
 
Riz1, Bashite, mkwe, hawa umewataja ili wakufikirie kukupa teuzi au Takrima?

Chawaz mmepitiliza sasa mko kuwa Kunguni. Lol
Nimewataja kwasababu Wana deserve kupewa hongera, Mm tayar niliteuliwa kuwa mtumishi wa umma
 
.
 

Attachments

  • 1000030930.jpeg
    11.8 KB · Views: 3
Mtu wewe mwenyewe ukijijua ukoje, inatosha!, haijalishi watu wanakuonaje au wanakudhaniaje, let them think, hivyo wanavyodhania and I dont have to justify myself to anybody!
P
Si kwelil. Kuna watu ******* wanajiona wako sawa wakati hawako sawa sawa na machawa. Kama tutatumia rationale hii, tutapoteza wengi ukiwemo wewe. Ukubali kuwa unahangaishwa na njaa baada ya kutojiandaa kikamilifu kustaafu mwanangu Pasko. Ni ushauri wa bure. Kama unaweza niPM nikupe mbinu bora za kuishi bila kuwa chawa wala kujidhalilisha mzee mwenzngu nkwingwa. Pelagi ng'wana masala.
 
Poa. Nashangaa sikujui kwa vile tuko nyumba ya tatu toka kwa Mwalimu tangu zama zile hadi sasa!!
 
Hivi chawa wanazeeka baada ya umri gani?
Kwa vile nyinyi ni chawa binadamu wa samuya, mnazeeka pale mnapofikia umri wa kustaafu kisheria. Simpo. kumbe ulikuwa hujui. Hata hivyo, wapo chawa mavii na ving'ang'anizi kama kabundi na wahasira. Hawa hadi warejeshe namba kama lukuuuviii kkk
 
Poa. Nashangaa sikujui kwa vile tuko nyumba ya tatu toka kwa Mwalimu tangu zama zile hadi sasa!!
Huwezi kunijua kwasababu tulikuwa wengi,na hapo Msasani kulikuwa na ndugu wengi,unamjua mtoto wa hapo aliyesoma Tambaza?, tulikuwa nae darasa moja!Kwa majirani ambapo tulikuwa tunakwenda ni kwa Naburi, Simbeye,Bert Shacland mpaka kule kwa Kawawa.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…