Dr James G
Senior Member
- Oct 16, 2016
- 158
- 267
Kuweka kumbukumbu sawa akiwa miongoni mwa wabunge kwenyr bunge la katiba awamu ya Jk ,Makonda alipongeza uwezo wa Samia Suluhu Sahan kusimamia bunge la katiba kama naibu spika.lakin pia aliona maona na kuyasema nanukui ikipenda uko mbeleni huyu mama aje awe makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa. Tanzania uko mbeleni'',mwisho wa kunukuu.suddenly watu wakiwa wamesahau kauli ya Makonda Mama samia anakua Makamu wa Rais na yeye binafsi kukumbushia kua maneno yanaumba akikumbushia utabiri wa Paul Makonda wakati wa Bunge la Katiba,anyway to make story short ni kua nimemufatilia kwa kiasi historia ya kisiasa ya Comred paul christina Makonda tangu akiwa chuo kikuu cha ushiriaka Moshi na kua Rais wa shirikisho la vyuo vikuu na vyuo vya kati Tanzinia,kisha Uvccm Taifa kama katibu na uenezi na chipkizi,badae Jk anamteua kua mkuu wa wilaya Kinondoni ,mchango wake kwenye secta ya elimu haukuanza tu akiwa mkuu wa mkoa Dar es bali tangu akiwa mkuu wa wilaya kinondoni alisaidia ,baadae anakua mkuu wa mkoa na akijipmbanau kusaidia wajane na wagane wa jiji la dar,vifaa elimu na vyezo elimu kwa wanafunzi na walimu,ubora wa jeshi la police katika wa dar es ,na kusimamia miradi mingi mikubwa ambayo leo inalipendenzesha jiji la dar .badae makondo anakosa jimbo la kigamboni na kurudi backbancher kwa muda ,then mama samia anakua Rais Wa jamhuri ya muungano wa Tanzania navkumrudisha comred makonda kwenye nafasi nyeti ya chama kama katibu mwenezi na kukiamusha chama kuwastua wapinzani kuwarudsha watzania matumaini ya kutatuliwa matatito yao papo hapo ,makonda alifanya kazi nyingi kama katibu mwenezi had kuleta mijadala kua anaingili majukumu yasiyomuhusu lakn bado alijikita kutatua kero za wananchi kila anapopita,badae Rais anaamua kurudisha makonda katika nafasi ya ukuu wa mkoa wa arusha,Makonda analiamusha tena jiji la arusha mapokezi yake na kua karibu na makundi yote ya mkoa wa arusha,vijana ,wahuni au wadudu,bodaboda,mama wa sokoni nk,kutatua matatzo ya wananchi ,kutembela wilaya kwa wilaya kwa wilaya ,uwanja mpya wa mpira,masoko nk.kama alivyobuni clinic ya kutatua matatizo ya kisheria jiji la dar kwa kina mama nk,galfa anaibuka na ubunifu wa medica camp jiji la arusha medical camp ya kihistoria katika nchi yetu ,binafsi nilikua jiji la arusha nilishuhudia kwa macho yangu madkatri bingwa wakitoa huduma ,taasisi kubwa za afya zilikuepo huduma zilitolewa bure watu walizid uwezo kiufupi ilikua ni historia.baadae kidogo makonda anapotea ofisn na mitando ya kijamii watu wanmtafuta tetesi zinakuja anaumwa yuko hoi kwa madiba mara yuko vacation mara amekufa,mara ooh hajamaliza hata mwaka kazin kwann aende likizo baada ya mwenzi PCM anatokea uwanja wa ndege wa arusha kisongo anatoa maelekezo namna ya kuboresha uwanja wao .anyway huyo ndo Paul Chritian Makonda Master Mind wa siasa za kizazi cha sasa Bongo.🙌