Paul Christian Makonda (PCM) ndo kijana mwenye Akili zaidi ya siasa za Tanzania kwa kizazi hiki.

Kwanini wanachama wa chadema hawampendi makonda, na mitandaoni wamejaa chadema utafikiri wapo uwanja wa mkapa
Paul Makonda anachukiwa vibaya hata na Wana-Ccm wenzake. Maadui wakubwa alionao Paul Makonda wengi wao amewatafuta yeye mwenyewe, tena amewatafuta kwa tochi.
Hata sisi wengine ambao hatuko na ushabiki kwa chama na vyama vya Siasa pia hatufurahishwi na tabia mbaya za Paul Makonda.

Je, huyu Mzee aliyopo kwenye hii picha hapa chini naye ni mtu wa CHADEMA???
 
Attachments

  • images (66).jpeg
    41.3 KB · Views: 3

kwenye heading isomeke DAB badala ya PCM.

YESU NI BWANA&MWOKOZI
 
Akili ni kufaulu Darasani? Bado ni definition isiyojitoshereza!
Maana kuna watu wenye vipawa vya uongozi lakini hawana elimu kubwa!
 
[emoji7][emoji7]
 
Unajua kuna wajinga na wanajiamini kuwa ni werevu sana na hakuna mtu anaweza kuwaambia kitu. Ulishakutana na mjinga anayejiona anajua kuliko watu wote? Ni Makonda.
 
Ni upumbavu kukariri akili had uwe umeenda chuo,huyu Makonda ana akili ya kucheza na siasa ni gwiji la siasa za ukanda huu kwa sasa,ni kijana wa muda wake anajua kusoma muda na kwenye na nyakati.
Akili ni kufaulu Darasani? Bado ni definition isiyojitoshereza!
Maana kuna watu wenye vipawa vya uongozi lakini hawana elimu kubwa!
 
Akili ni kufaulu Darasani? Bado ni definition isiyojitoshereza!
Maana kuna watu wenye vipawa vya uongozi lakini hawana elimu kubwa!
Sawa hakufaulu darasani, je akili zake ziko wapi Hizo za ku promote wadudu? Hebu msituchoshe na huyu shoga mjane wa Samuel wa Urambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…