Paul Christian Makonda (PCM) ndo kijana mwenye Akili zaidi ya siasa za Tanzania kwa kizazi hiki.

Sawa hakufaulu darasani, je alili zake ziko wapi Hizo za ku promote wadudu? Hebu msituchoshe na huyu shoga mjane wa Samuel wa Urambo
Na wewe kuwa shoga ili uwe kama yeye! Malengo yenu mabaya kuwa afe kabisa yamefeli na mmedondokea pua!
Mnajidai kuwa ni watu wenye nia njema na taifa hili huku mkiwa mmebeba mabaya katika nafsi zetu kwa kifupi ni maajenti wa shetani kwa sababu mtu mwenye akili ya kimungu hawezi kumwazia mwenzake mabaya kama hayo!
 
Mikono yake imejaa damu. Ni muuaji huyu hafai kabisa
 
Halafu nimejifunza kitu kutokana na matukio mbalimbali,

Matukio yananionyesha kwamba, waliowahi kupendwa saana huko kwenye siasa na wakawa na majina makuubwa sana, hawakupata kile tulidhani ni sahihi wao kukipata,

Na hata Mh Tundu lissu, huwenda asiwe na asiipate hiyo nafasi ambayo wengi wamekuwa wakiamini ataipata

Tulikuwa na Edo, tulikuwa na kina Membe, tulikuwa na kina Maalim seifu, tulikuwa na kina prof Mwandosya n.k lakini kiko wapi leo

Nani aliyeamini siku moja Tutakuwa na Samia akisimama kama kiongozi mkuu wa nchi na Rais wetu?

Sishangai siku moja Makonda akafika mbaali sana

Na Makonda anaweza akafika mbaali kwa sabb kama za kijinga tu hapa

Kwanza, ni mtu amnaye ameshambuliwa vya kutosha na kila anayejisikia kumshambulia, ni kana kwamba wanadamu hawamtaki, ila mahali yupo, n8 kama kuna nguvu tu isiyoonekana ndiyo inayomfanya awepo hapo

Kama ndivyo, nguvu hiyo hiyo, inaweza pia kumfanya awe juu zaidi kuliko hiyo ngivu ya wanadamu ambayo ni dhaifu milele
 
Kwa taarifa yako, baada ya Samia kutoka tunamfungulia mashtaka ya mauaji, utekaji na dhuluma ya mali. Jinai haiozi.

Mwambie kabisa
 
Kwa taarifa yako, baada ya Samia kutoka tunamfungulia mashtaka ya mauaji, utekaji na dhuluma ya mali. Jinai haiozi.

Mwambie kabisa
Kinachokufanya ushindwe sasa ni kipi

Maana kauli yako ni hii hii toka enzi za Magufuli, Magufuli aliondoka hukumpeleka mahakamani, wewe ni mtu bule tu
 
Umeongea kinabii sana sana ubarikiwe
 
Kilaza
 
Kama BASHITE anae akili Mimi naomba nirudi darasa LA kwanza..
 
๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ