Libertatem Pugnator
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 1,005
- 1,377
Inferiority complex inawasumbua sana vijana wengi wa nchi hii. Anyway, wanaume wenye akili wako kazini kuhakikisha mko salama mpaka mnapata nafasi ya kuandika hizi pumba mitandaoniNi kweli vijana wake have penetrated our country in all key sectors including our security apparatus!! Hivyo anajua nguvu na weakness ya nchi yetu!!
Marehemu Mtikila aliwahi kuandika juu ya Kagame na ndoto zake lakini akapuuzwa!!
Waarabu sio Ngozi weupe - KahawiaAcha Kudanganya wewe.
Population ya watu weusi Duniani ni 1.3B. Waliobaki wote ni Weupe ambao ni zaidi ya 6B.
Waafrika ni wachache kuliko Wazungu ndio maana tunanyanyaswa dunia nzima.
Hawana lolote ngoja PAKA avute utaona moto utavowaka hapo KigaliRwanda sio wa kuchukuliwa poa, mambo yamebadilika vita ni uchumi, teknolojia, silaha na intelejensia.
M7 kala kichwa tayari,Hawa watakuwa wamezulumiana na mseveni kule Kongo
Simlisema mnalinda hata Ikulu ya Magufuli au sio ninyi [emoji23] [emoji23]Kapigana na Zimbabwe, Angola, Namibia, DRC, Uganda.
Majeshi yake ndiyo yanalinda ikulu ya Raisi wa Central Africa..
Naona bwana Kabarebe unampambania bos wako anayekupa ulaji huko RwandaA) So what? When the deal between Total France etc and Rwandan government was signed in secrecy to FIGHT on BEHALF of France, France gave Rwanda Monies, Weaponry, and Logistics🙁Your argument)1
B) Let me jog up your mind a little bit. Who began ASKING permission to be allowed to go and fight in Mozambique? The answer is RWANDA. (Your argument)2
(C)By Isaac Mugabi| 13.07.2021 DW. Let me be frank with you France approached Mozambique covertly to convince Maputo how important Rwanda would be on that battle. The President bought the idea at the BEHEST of FRANCE and the rest is history. (Your Fact)
Totally contradicting,
Any way have good day;
Murakoze nawe🙏🙏
Kabarebe JrNaona bwana Kabarebe unampambania bos wako anayekupa ulaji huko Rwanda
Sema Kabarebe binafsi namkubali kishenzi..Jamaa anaanza kuongoza mishen nzito nzito za kivita at an age of 25 years tayar yuko battle field wakaqt hapa bongo ndio kwanza bado kula kulala asilimia kubwa vijana wa umri huo..kushinda mitandaoni tuu siku nzima
Kijiwe fulani fulani hivi cha kahawa, anjifurahisha tuchanzo cha taarifa yako tafadhali. "rwanda wana intelijensia isiyo na mashaka katika ukanda wa afrika ya mashariki"
Kwa haya haya MAKOMBORA ya mwaka 70's?Huyu nae akae kimya tu,kwetu akija na nywele ataondoka na kipara,maana tutamyoa kwa chupa.
Unajuaje huko Rwanda hakuna uzembe au propaganda zilizopo tu? Unajua hali halisi ya Hutu na Tutsi huko au kwa vile ameweza kucontrol media ndio maana? We got 99 problems lakini nakuhakikishia Rwanda Aint One..labda UG na Congo hukotuko katika nchi ambayo mabomu yanajiripukia yenyewe kila mara!!
nchi ya watu wazembe afu tujiringanishe na rwanda kweli!!… naikubali tz lakin hatuna uongozi
Kona ipi?Anasema ana vijana ndani kwetu. Kila kona, tukileta fyokofyoko, cha moto tutakiona
Sawa!Rwanda imewahi kupigana vita lin mpaka muipe credit?
kama ni silaha inanunua kama mataifa mengine ya africa.
Kiuchumi ndio kabsa hana lolote.
Hayaui?Kwa haya haya MAKOMBORA ya mwaka 70's?
Kumbe Georgia na Russia sio wazungu?ni wahindi,waarabu au wachina?!Georgia alijifanya ana back up ya wazungu mrusi alipoingia hamna hata aliyethubutu kumsaidia,juzi kati the same albania acha achonge azebairjan akamtimba ipasavyo hamna aliemsaidia,kagame ni kama savimbi flan anaetumika na magharibi siku wakimchoka genocide itakayopigwa pale si ya kitoto maana kagame ameshindwa kuwaunganisha warwanda zaidi ya kuwaletea ubabe wahutu,wale jamaa miaka yote wanaishi kinyonge sana kwenye nchi yao
Mazingira na wakati vinaamua nani awe wapi na afanye nini kwa wakati huo.Sema Kabarebe binafsi namkubali kishenzi..Jamaa anaanza kuongoza mishen nzito nzito za kivita at an age of 25 years tayar yuko battle field wakaqt hapa bongo ndio kwanza bado kula kulala asilimia kubwa vijana wa umri huo..kushinda mitandaoni tuu siku nzima
Hahh! Hiyo mlisema wenyewe,mlikuwa mnacomplain kila siku.Simlisema mnalinda hata Ikulu ya Magufuli au sio ninyi [emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Waulize wazee wa mkiru kilicho watoa bongo kuwapeleka mozambique nini.Aisee...
Magufuli alifyata mkia kwa Alshabab Mozambique...
Kagame to the rescue...
View attachment 2115379View attachment 2115374
View attachment 2115375
View attachment 2115376
View attachment 2115377