Paul Kagame atuma ujumbe mzito kwa majirani zake

Usichojua Rwanda ni maskini kiasi kwamba anatumia jeshi kama chanzo cha kipato..
Rwanda imepeleka vikosi vingi UN kuliko Tanzania kwa sababu unalipwa pesa nyingi kama nchi.
Hamna professional yeyote aliyo nayo kulinganisha na mataifa mengine umaskini tu ndio unamsumbua.
 
Sawa tajiri..ila sioni ubaya wake kama inchi inanufaika.
 
Kagame hana uwezo wa kumpiga museveni museven yuko vzr
 
Kagame ako na blackhawk,,, attack helcopters
Iyo ni SU 30 kamq ww sio Mike uwezi nielewa hapa izo ndege za kivita sio poa izo zina beba makombora zaidi ya ma 5 muda mwingine mpaka 8 ambayo hayo makombola yakipigwa effect yake ya iyo sehemu inakuwa ni kubwa sio poa sasa izo Museven anazo 6 na ni za kisasa kabisa alafu ndo ufananishe na black hawks Helicopta zile attacking helcopta zile amna kitu acha kabisa na izo ndege vita alafu pia kagame hana expirience na vita jeshi lake alijawai pigana vita atapigwa kama mbwa...
 
A tiny landlocked Country in East Africa which by blocking TZ and Kenya the job is finished. Tuache hizi maneno tuishi kwa Amani. Tusibweteke na achievement kidogo kidogo na kuona unaweza pigana na kila alie jirani yako. Eneza amani sio matishio. Afterall we are both in EAC?
 
Africa tuwe wamoja jamani, mbona tunakuwa na akili kama za waarabu?

Rwanda, Congo, Burundi, Kenya, Uganda, Tanzania wote sie choka mbaya, wote tunategemea kununua masilaha kwa hao major leading exporters of major weapons.

Nani kati yetu anafanya research and weapon development?

Kwenye ulimwengu wa uwezo wa kijeshi sie askari wetu ni migambo tu.

Japo tukikaa kwa ushirikiano tutafika mbali.

Imagine tusiponunua hizo silaha za wazungu, vita yetu itakuwa ni kutumia mishale, manati, visu, mapanga, fimbo na mawe.

Tuondoeni tofauti zetu ndugu zangu, sisi ni watu wa baba na mama mmoja.

Kama Kagame anazungumza hayo hatua nzuri kwa walengwa ni kukaa kimya.
 
Call it they way you want, facts nikwamba magaidi wamekimbizwa, ngome zao kalibia zote zimekombelewa ,raia wameanza kurudi makwao, huo ndio ukweli.
Mengine ni porojo
Tunafurahia kuona kuwa Magaidi wameondolewa huko kwa combined forces za SADC na SI nchi moja kama tunavyolazimishwa kukubali.
 
Maskini Vijana wanatumiwa bila kujitambua kwa mising ya Dini tu, Very Sad.
 

Attachments

  • Waliokamatwa Msumbiji.mp4
    23.1 MB
Hii ni threat.

Aliongelea wishing a peace na hakuidadavua zaidi kama.alivyodadavua war.

Hiyo doctrine kaipractice DRC na Uganda.

Aje bongo basi tumnyonyoe
Nyooo!! Umnyonyoe na outdated missiles?? Brick breaker commandos!! Mfyuu you are dreaming my broda! The man is committed and his first target is here kama hujui! Subir..tena waswahil wenyewe wa pwan ndo wameshika injii..mfyuuu
 
Nyooo!! Umnyonyoe na outdated missiles?? Brick breaker commandos!! Mfyuu you are dreaming my broda! The man is committed and his first target is here kama hujui! Subir..tena waswahil wenyewe wa pwan ndo wameshika injii..mfyuuu
Me nilifikir utaongelea kitu cha maana, Rwanda ananunua silaha kama bongo sio tishio lolote,
mda ukifika zitanunuliwa tu kama kwa amin.
 
Hivi mnahangaika na nini? kama mnataka kujua ni kweli au la,anzisha moto hapo ndio mtajua uwezo wa wake. full stop!
 
Me nilifikir utaongelea kitu cha maana, Rwanda ananunua silaha kama bongo sio tishio lolote,
mda ukifika zitanunuliwa tu kama kwa amin.
Blaza! Suala sio kununua silaha bali matumizi sahh ya silaha..majeshi ya sasa yanaendeshwaa kwa technology!! Jesh letu lazima lihakikishe technologia inatumika kama wanafanya hvyo itakuwa rahis kumkabl huyoo nyau wa rwandaa..la cvyoo tutapoteza vijana wetu wengi mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…