Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa lolote lileKwa lipi
Huyu naye kuongoza kata moja anaona kamaliza dunia.
Kwanza ajue akianza vita na nchi yoyote ndiyo mwanzo wa vita ya ndani ya nchi yake. Asidhani kama kweli wahutu wanamuunga mkono 100%Huyu mzee atulie,vita na nchi nyingine siyo kama liberation struggles. Hana uzoefu.
Mabeberu bwana wana vituko. Ka Nchi kenyewe kanategemea misaada kutoka nje by 80% then kanajitutumua kutoa misaada ya kijeshi afrika nzima🤣🤣🤣Hamjamboni nyote?
Tafadhali pitia ujumbe wa PK hapo chini...
Nasikia msumbiji wameliwa vichwa sanamtu anaejiamini kwa kila kitu hawezi kutoa maneno namna hiyo,
ulizeni alichofanywa msumbiji
Jamaa kashasema sasa. Hizi kauli kijeshi ni dharau.President Kagame: We wish everybody in the region peace, but anyone who wishes us a war, we give it to him. We have professionals trained for it. Rwanda is small in size, our doctrine is to fight war on enemy territory when it calls for it.
Kama MtwaraNasikia msumbiji wameliwa vichwa sana
Georgia alijifanya ana back up ya wazungu mrusi alipoingia hamna hata aliyethubutu kumsaidia,juzi kati the same albania acha achonge azebairjan akamtimba ipasavyo hamna aliemsaidia,kagame ni kama savimbi flan anaetumika na magharibi siku wakimchoka genocide itakayopigwa pale si ya kitoto maana kagame ameshindwa kuwaunganisha warwanda zaidi ya kuwaletea ubabe wahutu,wale jamaa miaka yote wanaishi kinyonge sana kwenye nchi yaoKajamaa kaba backup ya wazungu ndio maana kanajiamini, lakini asijiamini atakuja kuchezea kichapo
chanzo cha taarifa yako tafadhali. "rwanda wana intelijensia isiyo na mashaka katika ukanda wa afrika ya mashariki"Kagame ni smart sana na ana intelijensia isiyo na mashaka katika ukanda wa afrika mashariki! Huyo siyo wa kubeza huenda kashapata taarifa zinazohusu nchi yake na maadui zake ndiyo maana ametoa neno.
kagame na rwanda yake ya watusi ni suala la muda tu.Georgia alijifanya ana back up ya wazungu mrusi alipoingia hamna hata aliyethubutu kumsaidia,juzi kati the same albania acha achonge azebairjan akamtimba ipasavyo hamna aliemsaidia,kagame ni kama savimbi flan anaetumika na magharibi siku wakimchoka genocide itakayopigwa pale si ya kitoto maana kagame ameshindwa kuwaunganisha warwanda zaidi ya kuwaletea ubabe wahutu,wale jamaa miaka yote wanaishi kinyonge sana kwenye nchi yao