Paul Kagame atuma ujumbe mzito kwa majirani zake

Paul Kagame atuma ujumbe mzito kwa majirani zake

Haya haya ya Japan during WW2 , kujitutumua kwingi , wakat namba ni mhimu Sana kwenye ulimwengu wa vita
Namba bila akili, ujuzi na maarifa ni kazi bure, Waarabu ni wengi kuliko waisrael lkn hadi leo wanaburuzwa tuu, waafrika tupo wengi kuliko wazungu lkn hadi leo wazungu wanatufanya wanavyotaka.
 
Let's wait and see, whose message is this? TZ, DRC, UG, BRND,? Hegemonic sentiment be warned geopolitical muscles and expansionist policy, " Fight on enemy territory" serious phrase and it should be dealt with seriously.

Rwanda is small in size, however their doctrine is .... Mtikila aliona mbali sana, particularly speaking someone who assumes mental horizon supremacy has uttered.
The problem with this guy lies purely on his misplaced hubris and wrong optics among his neighbours. He feels he is the "ONLY one" "Mr Fixer" be it economically Politically and Militarily. Hence deceiving himself and his counrty as an indispensable force. Forgetting that we know that his troops are in Mozambique under the payroll of his former Masters France ostensibly to safeguard their interests notably oil infrastructures.
In the long run his hegemony and optics will take him nowhere! My synopsis, Kagame is a Macernary for HIRE.
Period!!
 
Namba bila akili, ujuzi na maarifa ni kazi bure, Waarabu ni wengi kuliko waisrael lkn hadi leo wanaburuzwa tuu, waafrika tupo wengi kuliko wazungu lkn hadi leo wazungu wanatufanya wanavyotaka.
Tatizo hapo ni unity sio namba, namba ni ya mhimu mno jidanganye
 
Tunaweza kuongea gadhabu zetu tunavyotaka lakini Kagame bado ana credit nyingi sana ukilinganisha na Maraisi wa Africa Mashariki.
Kwa wale waliokuwa na utambuzi wa mambo enzi za Rwanda wakati Kagame anachukua madaraka na Leo atakubaliana Kagame sio mtu wa porojo tupu
Ambition, focus, strategies and seriousness yake ni ya kuigwa sio tu na viongozi bali hata na vijana katika kufikia malengo ktk maisha
 
Hilo hatukatai, kwanza Rwanda ni nchi ndogo sana, Pili Kagame amekaa muda mrefu madarakani, Tatu Rwanda hakuna demokrasia, Hana Upinzani katika kila anachotaka kufanya, Rwanda ni One Man show regime kama Russia.
Na mwisho ni Mzalendo wa kweli, Ila ana kiburi sana utafikiri Rwanda ni kama US.
 
Kagame ni smart sana na ana intelijensia isiyo na mashaka katika ukanda wa afrika mashariki! Huyo siyo wa kubeza huenda kashapata taarifa zinazohusu nchi yake na maadui zake ndiyo maana ametoa neno.
Adui ake Uganda huyo hawez kuweka uadui na wakubwa ka tz
 
Georgia alijifanya ana back up ya wazungu mrusi alipoingia hamna hata aliyethubutu kumsaidia,juzi kati the same albania acha achonge azebairjan akamtimba ipasavyo hamna aliemsaidia,kagame ni kama savimbi flan anaetumika na magharibi siku wakimchoka genocide itakayopigwa pale si ya kitoto maana kagame ameshindwa kuwaunganisha warwanda zaidi ya kuwaletea ubabe wahutu,wale jamaa miaka yote wanaishi kinyonge sana kwenye nchi yao
Kule kwake watu wanaishi kama kondoo. Mitutu kila sehemu. Mapanga ndii usiseme. Watu wameshakubali wasevu maisha yao. wakajikalia kimya. Yeye anajiona ni mpiganaji ameshinda
 
Hilo hatukatai, kwanza Rwanda ni nchi ndogo sana, Pili Kagame amekaa muda mrefu madarakani, Tatu Rwanda hakuna demokrasia, Hana Upinzani katika kila anachotaka kufanya, Rwanda ni One Man show regime kama Russia.
Na mwisho ni Mzalendo wa kweli, Ila ana kiburi sana utafikiri Rwanda ni kama US.
mzalendo wa kweli?? kwa imaskini ule?? Nguvu nyingi na pesa nyingi za rwanda zinatumika kujilinda yeye na comrades wake tu. Sehemu nyingine ya finance inatumika kwenye propaganda tu.
 
kagame na rwanda yake ya watusi ni suala la muda tu.
Jamaa amecreate enemies ndani ya nchi yake na nje yake angejifunza kwa mrusi kwanini anapambana ukraine ibaki upande wake,sasa kagame ndani kwake ana wahutu ambao nin85% ya warwanda wote ambao wanamtamani kama mabaharia wanavyomtamani demu mgeni anayekuja kuanza kuishi kwenye kitaa chao,kila baharia anataka awe first kula tunda kimasihara
 
Hivi unajua kuwa japan alikuwa yuko mbioni kusurrender na bado USA akadondosha bomu japo alijua kabisa Japan anaandaa mpango wa kusurrender.
Ile ilikuwa ni zaidi ya noma
mjapan kama asiingeia ww2 angekuwa ana eneo kubwa sana upande wa China mainland , Korea yote ilikuwa yake Taiwan na kile kisiwa kikubwa cha mrusi sakhakin alipwega nusu aliposhinda vita na urusi 1905
 
Hii ni threat.

Aliongelea wishing a peace na hakuidadavua zaidi kama.alivyodadavua war.

Hiyo doctrine kaipractice DRC na Uganda.

Aje bongo basi tumnyonyoe
Kabisa aishie hukohuko ila asije jaribu kuigusa Tanzania maana Rwanda tutaigeuza kuwa mkoa wa Tanzania.
 
Mkuu wa nchi kuongea hivi una create unnecessary attention hasa kwa intelligence agencies na zaidi majirani kuongeza tahadhari ambayo nchi yake ndio itaumia zaidi.
 
Back
Top Bottom