Paul Kagame atuma ujumbe mzito kwa majirani zake

Anasema ana vijana ndani kwetu. Kila kona, tukileta fyokofyoko, cha moto tutakiona
 
Kajamaa kaba backup ya wazungu ndio maana kanajiamini, lakini asijiamini atakuja kuchezea kichapo
 
President Kagame: We wish everybody in the region peace, but anyone who wishes us a war, we give it to him. We have professionals trained for it. Rwanda is small in size, our doctrine is to fight war on enemy territory when it calls for it.
Jamaa kashasema sasa. Hizi kauli kijeshi ni dharau.

Masanja alikuwa kweli aliposema Mama aombe kamchezo tutesti vyombo vimakaa tu havina kazi
 
Kajamaa kaba backup ya wazungu ndio maana kanajiamini, lakini asijiamini atakuja kuchezea kichapo
Georgia alijifanya ana back up ya wazungu mrusi alipoingia hamna hata aliyethubutu kumsaidia,juzi kati the same albania acha achonge azebairjan akamtimba ipasavyo hamna aliemsaidia,kagame ni kama savimbi flan anaetumika na magharibi siku wakimchoka genocide itakayopigwa pale si ya kitoto maana kagame ameshindwa kuwaunganisha warwanda zaidi ya kuwaletea ubabe wahutu,wale jamaa miaka yote wanaishi kinyonge sana kwenye nchi yao
 
Kagame ni smart sana na ana intelijensia isiyo na mashaka katika ukanda wa afrika mashariki! Huyo siyo wa kubeza huenda kashapata taarifa zinazohusu nchi yake na maadui zake ndiyo maana ametoa neno.
chanzo cha taarifa yako tafadhali. "rwanda wana intelijensia isiyo na mashaka katika ukanda wa afrika ya mashariki"
 
kagame na rwanda yake ya watusi ni suala la muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…