Paul Kagame atuma ujumbe mzito kwa majirani zake

Rwanda sio wa kuchukuliwa poa, mambo yamebadilika vita ni uchumi, teknolojia, silaha na intelejensia.
 
You nailed it. Holaa
 
Labda ataanzisha vikundi vya kigaidi ndani ya nchi yo yote iliyo hasimu wake! Zaidi ya hapo hana uwezi wa kukabiliana kijeshi na nchi yo yote labda Burundi na Kongo!
 
Mpumbavu tuu.
 
President Kagame: We wish everybody in the region peace, but anyone who wishes us a war, we give it to him. We have professionals trained for it. Rwanda is small in size, our doctrine is to fight war on enemy territory when it calls for it.


What an arrogance !!!
 
Unajua Uganda yupo Congo kupambana na IDF na PK pia yupo Congo,sasa uwenda kuna kitu mzee PK kakiona huko ndani ya Congo labda ndo maana anajihami.

Ngoja tuone manake MU7 na PK wanajuana vizuri.
ADF
 
... succession plan ikoje? Muda wake umeenda hatari sana kama taifa kumtegemea mtu mmoja.
... Viongozi wengi kama hawa hupenda watu wao wa karibu wawapokee vijiti.
 
Ujumbe unaweza kuwa 'threat' kwa adui; pia unaweza kuwa kichekesho tu (joke)! Inategemea mlengwa amepokeaje huo ujumbe.
 
Labda ataanzisha vikundi vya kigaidi ndani ya nchi yo yote iliyo hasimu wake! Zaidi ya hapo hana uwezi wa kukabiliana kijeshi na nchi yo yote labda Burundi na Kongo!
Hata Burundi haiwezi.
 
Mkuu wa nchi kuongea hivi una create unnecessary attention hasa kwa intelligence agencies na zaidi majirani kuongeza tahadhari ambayo nchi yake ndio itaumia zaidi.
Hata hivyo uropokaji wake ni kiamsha macho. Kimesaidia wanaohusika kumpiku mapema. Ama ni vipi mkuu?
 
Anasema ana vijana ndani kwetu. Kila kona, tukileta fyokofyoko, cha moto tutakiona

Ni kweli vijana wake have penetrated our country in all key sectors including our security apparatus!! Hivyo anajua nguvu na weakness ya nchi yetu!!
Marehemu Mtikila aliwahi kuandika juu ya Kagame na ndoto zake lakini akapuuzwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…