Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?


..kisingizio cha Rwana na Uganda ni kwamba Drc inahifadhi au kufadhili makundi ya maasi toka mataifa hayo.

..Ndio maana kuna wakati Rwanda na Drc walifanya joint operation dhidi ya Fdlr.

..Vilevile Uganda amealikwa ili awashughulikie magaidi wa Adf.

..Hiyo yote ni kuithibitishia dunia kwamba DRC sio tishio la usalama wa Rwanda na Uganda.
 
Kama anafurahia mateso ya wana Kongo, basi zaburi 109 imhusu🤨
 
Labda hizo methods apate kwa mabwana zake huko USA na Ulaya na njia kubwa wanayoweza kutumia Ni kuratibu mapinduzi au sumu kwa Viongozi na sio kwenda front hiyo jeuri hawana.
Hata kama,, Rwanda ni landlocked, inategemea Tanzania na kenya kwa bidhaa zake kufika rwanda,, ikitokea mtifuano, kenya na Tz wakamblock, atabakiza air corridor,,Rwanda hana airforce,, ndege yeyote inayomsupply, inaweza kutangwa njiani na ikashusha mzigo kenya au Tz,
Anachojivunia huyu kagame,, amesoma sana novels, zinamdanganya, kuwa anaweza kupenyeza hitman wake nchi za east africa,,
Lakini nchi yeyote inaweza kutuma hitmen kufanya Termination,
Kinachosekana ni nia tu🤷🏾‍♂️
 
PK hana lolote zaidi ya mdomo kama wa yule msemaji wa Sadam Hussein, Abou Sahaff. Mtu mwenye uwezo huwa haongei, ni matendo tu.
Sisi majirani na nchi zingine za kimataifa tumekuwa tuna sympathise na ile genocide ya 1994, kwa hiyo kila akifanya uovu DRC tumekuwa kimya.

Sasa kama kuna Wanyarwanda humu wanasoma JF, niwataarifu tu kuwa this time around kama ana brag dhidi ya Tanzania au Kenya basi muambieni siku zake za kupigwa kama Iddi Amini Dada zimefika. Dont mess up with East Africa superpowers, you gonna be swept.
 
Tunasikia M23 wamesalimu amri. Sasa Kagame sijui anasema nini. We will just stay tuned to the radio.
 
Huu mkwara uwezi ukaelewa😂😂
 
Novels kama the Art of war!?
 
CongoZAIRE/DRC always imekuwa ikiingilia migogoro ya Rwanda kwenda kusaidia Wahutu kwasababu eti wanafanana nao leo hii wanalialia nini?

Wakati wa Dikteta Mobutu alituma Jeshi kwenda kupigana na Inkhotanyi RPF na baadae kuruhusu Interahamwe ziue Wakongo wenye asili ya Kitutsi ndio hawa leo wameform M23 wamechoka kunyanyaswa na Interahamwe kutoka Nchi jirani ya Rwanda.
 
Leo nimeanza kusikia tone imebadilika Jeshi la Afrika ya Mashariki linasema linataka kudili na Vikundi vyote ikiwemo vya Kihutu lakini swali linabaki palepale kwa Cogolese Tutsis 23 iwapo watanyang'anywa silaha kuna hatari ya Genocide nyingine ikatokea huko Congo dhidi yao.

Waingizwe kwenye Jeshi la Kongo na Rank zao halafu wabakizwe kwenye Command ya North Kivu tena watasaidia kuiondoa ADF ya Magaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…