SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mbaya zaidi ana mapandikizi yake kwenye maeneo mengi katika serikali yetu na vyombo vyake.Ingawa si wa kumdharau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaya zaidi ana mapandikizi yake kwenye maeneo mengi katika serikali yetu na vyombo vyake.Ingawa si wa kumdharau.
Kwa viwango vya viongozi wa kiafrika huyo hapo bado chekechea kabisa.Amezeeka, kweli Africa kiongozi ni hadi ufie kwenye kiti
Sasa tukija kwenye proxy wars hapo ndio Rwanda inapigwa mapema kuliko Kenya. Rwanda ina uwezo wa kutoa hata $500 million kufadhili makundi pale Kenya? Kenya inao uwezo wa kuipata hiyo hela bila kukopa wala kuombaomba.Naona hauelewi vita za proxy, Kagame hahitaji kwenda Kenya ila obviously Uganda ni koloni la Watutsi so in any war itakua via Uganda.
2. Kingine Kenya Ina vikundi kibao vya uasi sio tu NFD region kwa wasomali na wafugaji ila hata makundi ya msimamo mkali wa kiislamu wa kujitenga huko Pwani. Kagame anaweza fanya kazi na hao watu na ikapigwa vita ya proxy kama tu ilivyokua Ile ya M23..
3. Ukabila ni mkubwa sana Kenya kiasi kwamba wafuasi wa Upinzani yaani Wakamba, waluo, Waluhya, Pwani n.k wakiskia tu jeshi la Kenya limeingia vitani basi watakua wa kwanza kwenda barabarani kupinga nchi kuingia vitani na watakataza wafuasi wao kwenda Frontline. In fact wataona ni short cut ya kumpindua Ruto asubuhi na mapema.
4. Kuhusu uimara wa jeshi yes it's true linatengenezwa ila experience matters. Nchi zilizopo kwenye Kashi Kashi za kivita zinakua hazina margin of error so muda wote majeshi Yako busy. Mfano Rwanda ana majeshi kwenye nchi zaidi ya 13 yote hiyo ni kuwapa exposure na activeness kwenye battlefield. Sasa unadhani akikutana na wanajeshi wavaa ndala wa Westgate Nini kitatokea?? Rwanda fought in the Africa's world war, the audacity to take head-on 13 African countries in a stalemate war for 5 years should be a lesson to Ruto, unless he's dumb enough to disregard history!!
Hadi afikie stage ya kutembea na movable toiletKwa viwango vya viongozi wa kiafrika huyo hapo bado chekechea kabisa.
Kama Mugabe vileHadi afikie stage ya kutembea na movable toilet
Ila hiyo msg imekaa kama anatumiwa Tanzania maana tetesi zinadai mwakani JWTZ wataenda congo kuungana na jeshi la eac ukiondoa wa kitambo monuscoTatizo mpo divided sana, ikitokea vita trust me Kuna watu wataombea Ruto apinduliwe!!!
Then Kenya Haina jeshi imara, kama mlidunguliwa na amateurs huko samburu au trans mara ndio mtaweza kupambana na Battle-hardened RPF??
Bora Uganda au Tanzania, ila Kenya is weak na mtapata mnachokitafuta.
Do not undermine our security organsWanyarwanda wamejipenyeza karibia kila sekta hapa nchini. Intelligence wako busy tu na issues za Chadema, uchawa na uchaguzi wa 2025. Kale kajamaa kaliwahi mkoromea msoga akaufyata kimya. Wenzetu wanaoperate kwenye viwango vingine kabisa sisi tumelala.
Mkuu,kwani mnyambo mwenye nasaba na wanyankole hana nasaba na watutsi wa Burundi au Rwanda!?Nilishasema sana tu kuwa ,hatujawahi kuwa na mnyambo wa hivyo
Haahaaa Ukraine yenye jeshi imara ulinganishe na united Kenya yenye jeshi dhaifu 🤣🤣🤣. Let's be serious mkuu.Usikae hapo utegemee migawanyiko ya ndani, ni jambo la kawaida kwenye kila taifa, hata nyie hapo kunao naona mnashangilia na kushabikia sana ndege kukamatwa, japo sijaelewa ni uzalendo wa aina gani huo, ila likija suala la malumbano ya taifa dhidi ya taifa usithubutu.
Jifunzue na Ukraine ambao wana malumbano yao ya ndani, lakini wamemfanyia Urusi kitu ataishi akikumbuka kizazi baada ya kizazi.
Hawa walioshindwa kuzuia ufisadi? Yaleyale tu but it can't be worse than Kenya.Do not undermine our security organs
Mkuu, uliamkia nini?Na wewe usiwe mjinga,Tanzania haijalala kiasi hicho japo hatujafanya vya kutosha naona Kama unahemka kwa vijimaneno vya mfa maji hapo juu..
Tungekuwa hatufanyi kitu Leo hii tusingekuwa na urali wa biashara kuwazidi wote EAC yaana balance of trade yetu na majirani wote Ni surplus in terms of quantity and value licha ya changamoto zote..
Uchaguzi ni lini mkuu? Na Kuna uwezekano wa JK junior kuwa factor kwenye mtanange huo?mkuu napitia kwanza maoni yote ya wadau
Nipo naangalia ya ndani huku kuelelekea election
Ila kwann kagame huwa anapanic sana wakiguswa M23?
Samahani mke wa Kagame, basi hauwawi ataishi milele, haya kampanulie miguu sasa. Ma,mako.Ataanza kufa mama yako [emoji867]
Mpumbavu mwenyewe kama anakumanua kimpango wako bwege wewe, unamsifia mwizi anaharibu amani ya maziwa makuu wewe unasifia upuuzi wake hapa.Kusema ukweli kagame ni rais bora zaidi Africa kwa generation hiita mnaokaa hapa kumtukana ni kutokana na upumbavu wenu tu, viongozi wenu wanaiba nchini na kupeleka nije wakati kagame anaiba nje kupeleka rwanda