Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

Nchi maskini hizi kila siku mawazo yao ni kupinduana na kuuana bila sababu, Kenya na Tz ni tatizo kwa Kagame, P
 
Rais Paul Kagame alikuwa anaapisha mawaziri wapya hapo jana mapema. Alianza kutoa hotuba yake kwa lugha ya Kinyarwanda, lakini baadae akahamia kwenye lugha ya Kiingereza na baadaye akatoa kitisho kizito kwa lugha ya Kiswahili. Wengi wetu tumeona hicho kipande chenye lugha ya kiswahili kikisambaa huko mitandaoni hasahasa kwa raia wa Tanzania na Kenya. Kitendo cha kusambaa mtandaoni kwa kasi hivi, inaonesha kabisa walengwa wa ujumbe ni watu gani.

Kwenye FASIHI njia moja kuu ya kufikishia ujumbe ni kuifahamu HADHIRA, lakini kubwa zaidi ni kufahamu lugha ambayo HADHIRA hutumia. Siku zote kimetumika Kinyarwanda na Kiingereza, lakini leo hii na Kiswahili juu, tena sehemu ambayo anatoa vitisho. Kwenye Dakika ya 27, ameanza kuwaliza mawaziri wake kama wanafahamu lugha ya kiswahili, wakamjibu wanelewa, ndipo akaanza kuzungumza kiswahili.

Huu ujumbe siyo wa wanyarwanda, wazungumzaji wakubwa wa lugha ya kiswahili wanafahamika, hivyo hicho kitisho ni ujumbe kwenu. Hajataja mhusika, mimi binafsi sitamtaja, lakini naamini walengwa mapema leo, watakuwa washafikiwa na huu ujumbe.

Alichokisema Rais Paul Kagame ni kwamba ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi. Kwamba Rwanda doesn't have the means, but they have the methods (ways). Hivyo kijiografia Rwanda ni nchi ndogo isiyo na rasilimali nyingi, lakini wao siyo migomba mifupi kama wanavyofikiriwa. Binafsi naamini, haivuki miaka miwili (2) kuna mtu kwenye huu ukanda wetu wa maziwa makuu atatoa kilio kikubwa sana.

View attachment 2433276
Hovyoo and useless speech
 
Mnaioverrate sana Rwanda. Mfano Rwanda ili ifike ardhi ya Kenya inatumia nini? Rwanda hawana Air Force wala means ya kufika Kenya, silaha chache tu na landlocked, ikitokea vita ya Kenya na Rwanda wapigane kwenye ardhi zao wenyewe vita inaweza isha hakuna troops wa Rwanda wamekanyaga Kenya na Rwanda inapigwa mapema tu.

Ukiwa battle hardened kwenye guerilla, huna kabisa au una kwa uchache artillery, howitzers, rocket launchers, fighters, tanks na bajeti ya kununua hivyo vitu wanajeshi wako watapigana kwa kuvizia ila sio full blown war.

Jeshi imara hutengenezwa, hawazaliwi tu wakiwa imara. Sasa sijui unatumia kigezo gani kwamba Kenya hawawezi unda jeshi imara. Ingekuwa ni suala la urithi ungekuwa na hoja. Btw Rwanda ilishafanya genocide na kuua tens of thousands of civilians mbona hatujatumia kama kigezo cha kuwa na nchi weak isiyo na umoja. Nchi ina makabila mawili hasimu na wameuana sana tu na wanazidi kutafutana, hutaki kuona hilo ila unawaona Kenya kwamba hawapendani
Naona hauelewi vita za proxy, Kagame hahitaji kwenda Kenya ila obviously Uganda ni koloni la Watutsi so in any war itakua via Uganda.

2. Kingine Kenya Ina vikundi kibao vya uasi sio tu NFD region kwa wasomali na wafugaji ila hata makundi ya msimamo mkali wa kiislamu wa kujitenga huko Pwani. Kagame anaweza fanya kazi na hao watu na ikapigwa vita ya proxy kama tu ilivyokua Ile ya M23..

3. Ukabila ni mkubwa sana Kenya kiasi kwamba wafuasi wa Upinzani yaani Wakamba, waluo, Waluhya, Pwani n.k wakiskia tu jeshi la Kenya limeingia vitani basi watakua wa kwanza kwenda barabarani kupinga nchi kuingia vitani na watakataza wafuasi wao kwenda Frontline. In fact wataona ni short cut ya kumpindua Ruto asubuhi na mapema.

4. Kuhusu uimara wa jeshi yes it's true linatengenezwa ila experience matters. Nchi zilizopo kwenye Kashi Kashi za kivita zinakua hazina margin of error so muda wote majeshi Yako busy. Mfano Rwanda ana majeshi kwenye nchi zaidi ya 13 yote hiyo ni kuwapa exposure na activeness kwenye battlefield. Sasa unadhani akikutana na wanajeshi wavaa ndala wa Westgate Nini kitatokea?? Rwanda fought in the Africa's world war, the audacity to take head-on 13 African countries in a stalemate war for 5 years should be a lesson to Ruto, unless he's dumb enough to disregard history!!
 
Nilishasema tokea mwanzo, hao M23 wakikimbilia Rwanda basi wafuatwe huko huko! Kama Iddi Amini alivyofanyiwa
‘The proof is in the pudding’, kwenye speech yake yote sikiliza dakika tano za mwisho. Kenya inaonekana katoa kichapo balaa jamaa wapo mpakani.

Kilichobaki kelele nyingi ohoo sijui yeye pia alitaka kusaidia akazauiwa na kujitetea kwingi (all the while he refers to rebels as FDLR), ila sasa hivi kuna Shells zimeanza kuangukia Rwanda, huo sasa anadai uchokozi.
 
Naona hauelewi vita za proxy, Kagame hahitaji kwenda Kenya ila obviously Uganda ni koloni la Watutsi so in any war itakua via Uganda.

2. Kingine Kenya Ina vikundi kibao vya uasi sio tu NFD region kwa wasomali na wafugaji ila hata makundi ya msimamo mkali wa kiislamu wa kujitenga huko Pwani. Kagame anaweza fanya kazi na hao watu na ikapigwa vita ya proxy kama tu ilivyokua Ile ya M23..

3. Ukabila ni mkubwa sana Kenya kiasi kwamba wafuasi wa Upinzani yaani Wakamba, waluo, Waluhya, Pwani n.k wakiskia tu jeshi la Kenya limeingia vitani basi watakua wa kwanza kwenda barabarani kupinga nchi kuingia vitani na watakataza wafuasi wao kwenda Frontline. In fact wataona ni short cut ya kumpindua Ruto asubuhi na mapema.

4. Kuhusu uimara wa jeshi yes it's true linatengenezwa ila experience matters. Nchi zilizopo kwenye Kashi Kashi za kivita zinakua hazina margin of error so muda wote majeshi Yako busy. Mfano Rwanda ana majeshi kwenye nchi zaidi ya 13 yote hiyo ni kuwapa exposure na activeness kwenye battlefield. Sasa unadhani akikutana na wanajeshi wavaa ndala wa Westgate Nini kitatokea?? Rwanda fought in the Africa's world war, the audacity to take head-on 13 African countries in a stalemate war for 5 years should be a lesson to Ruto, unless he's dumb enough to disregard history!!
hovyooo
 
Tuko busy na uchaguzi 2025.

Huko barabarani tuko busy na maving'ora 24/7 maspeed na kuweka mafoleni, sijui huwa tunawahi wapi na tunawahi nini maana yale ya msingi tunayopaswa kuyafanya hatuyafanyi..

Ruto anapambana kuongeza idadi ya diaspora wakenya duniani, wakati huo anaendeleza utaratibu wa kuzalisha skilled and intelligent workforce ya kenya ili itapakae kila kona duniani..

Tupo busy kubrainwash vijana na kuendelea kuwa chawa wa viongozi, tuko busy kuendelea kuongeza workforce pumbavu inayowaza siasa, tuko busy kufanya vijana wawe tegemezi wa baba zao wezi waliokwenye system.. We paralysized kila mahala na maadui wetu wanafuatilia nyendo zetu kila siku ili siku ikifika watuslave.
Hivi karibuni tumejitimu PhD kwa hiyo tutaitumia kutatua chanhamoto, yaani vyuo vyetu navyo vimekua chawa na kupe
 
Hawa wajinga toka walipochinjana kama kuku wenyewe kwa wenyewe huwa nawaona hamnazo.
Atulize kipago atanyukwa na vita tunapigania ardhini. Tunakaa Rusumo tuu hapo tunamlamba tako asubuhi mapema. Achezee huko huko anakoiba madini.
 
Mpo divided kwa ukabila, hata wanajeshi wenu waliopo DRC Wana identify kwa makabila so Kuna wanaona Furaha mkitwangwa Ili tu kushusha approval ratings za Ruto!!!

Kingine nje ya siasa za ukabila, mko weak sana kama tu huko Kapedo mlinyooshwa ndio mnadhani huko Goka mtatoka salama?

Usalama wenu upo fragile usilete ujuaji, sisi Tanzania unaweza kwenda kokote pale usiogope ila wewe unaweza kwenda NFD regions?? Unaweza pita Samburu or West Pokot kwa Amani? Hapo Bado Nairobi tu mna hofu ya shambulio jingine!!

Weak nation afu mnaleta ujuaji kwa PK..... Hizo vita waachieni Tz na UG ndio Wana Ubavu sio nyie weaklings.

Usikae hapo utegemee migawanyiko ya ndani, ni jambo la kawaida kwenye kila taifa, hata nyie hapo kunao naona mnashangilia na kushabikia sana ndege kukamatwa, japo sijaelewa ni uzalendo wa aina gani huo, ila likija suala la malumbano ya taifa dhidi ya taifa usithubutu.
Jifunzue na Ukraine ambao wana malumbano yao ya ndani, lakini wamemfanyia Urusi kitu ataishi akikumbuka kizazi baada ya kizazi.
 
Hawana akili hawa watu waliochinjana wenyewe kwa wenyewe kama kuku back in the days!
 
Hakuna kitu hapo mkuu 'Joka'. Usihadaiwe na utapeli wa hao jamaa, hasa huyo msuluhishi.

Walipiga kelele nyingi za vitisho vya kwenda kuwamaliza vikundi vinavyofanya fujo. Jeshi linafika huko kwenye mapambano hadithi za pembeni zinaanza, badala ya kufanya kweli kama walivyokuwa wakipiga kelele hapo kabla.
Na inaonekana huu mchezo hujausoma vizuri: Kenya anamkingia kifua Kagame kiaina. Wewe soma vizuri kelele nyingi zinazotoka huko utauelewa mchezo wanaocheza.

Sasa Mkongo mwenyewe kaamua kufanya kazi, na nina hakika ataifanya na kuimaliza ipasavyo.
Kenya wamefika wanapeleka vikosi tu! Seems intelligence yao haikufanya kazi nzuri kupima urefu wa kina. Alafu ukiona TZ wapo kimya bize na mambo mengine ujue mtego huo. Ngoja tuone majirani watafanya lakini yumkini wameuvagaa mtego tena wakitegemea experience ya Uganda [emoji1787][emoji1787]
 
Kagame kama kweli anajiamini kwanini asianzishe hiyo vita anayojitapa kila siku yuko vizuri?

Huku kujisifu kwake kila siku bila vitendo vyovyote pia kunaweza kuwa ni dalili ya mtu asiyejiamini, anajihami tu, ili aachwe aendelee kuharibu amani ya eneo la maziwa makuu.

Huyu anaweza kuwa anaongoza kwa mdomo na ujuaji kuwashinda marais wote wa hili eneo, lakini sio zaidi ya hapo, kama anaona anachokozwa kila siku kwanini asiwafundishe adabu hao wachokozi?

Nikiri sijasoma comments za watu wote ! Lakini huyu Kageme kwani silaha zake za vita zinaingizwa nchini kwake kupitia wapi ? Hivi anadhani hizo nchi zinampitishia silaha bila ku…. Pili nchi zote anazopakana nazo yumkini ana some sort of beef nazo kweli nchi hizo zimekaa tu kizembe ? Aache hiyo rhetoric ya vita ataangamiza wanyarwanda wenzake bure tuu ! Tchisekedi sio mpumbavu pia ! Majeshi ya [emoji1139] yako huko with fresh war experience from Somalia fighting Alshabab terrorists ajitafakari sana ! He can not intimidate the region for good without a counter response publicly or sectretly !

Vita mbaya!!!
 
Huu mgomba mfupi huwa siuelewi. Ukiulizwa kama ni binamu ya M23 unaruka viunzi vya kimataifa .M23 ikipelekewa moto mgomba huu mfupi unaanza kujifunza kutembea .hata JK alipopewapelea Moto mgomba huu uliukana ufupi ukasema akha mi mrefu .sasa we mgomba mbona una maajabu yasoisha. Tulia upigwe dawa ya mnyauko na mzee luto
 
Mama kamuweka BASHUNGWA wizara ya Ulinzi hakika atavuna alichokipanda kwa Mnyarwanda huyu

A war is not fought by politicians ! It the generals who does the ultimate job, so huyo Bashungwa as a minister ni tarishi tu kupeleka taarifa kwa Amiri Jeshi. God forbid this not to happen as we have enough problems to sort and a polical war to uproot CCM from power.
 
Back
Top Bottom