zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Umemaliza vibaya? Naona wengi hamuelewi huu mgogoro, sio wa DRC na Rwanda Bali ni kikabila so huko DRC Kuna makabila yenye asili ya "kitutsi" be it masasi, minova, all the way to ituri huko juu kwa wagegere,lendu, na wahema etc.Hakuna kitu hapo mkuu 'Joka'. Usihadaiwe na utapeli wa hao jamaa, hasa huyo msuluhishi.
Walipiga kelele nyingi za vitisho vya kwenda kuwamaliza vikundi vinavyofanya fujo. Jeshi linafika huko kwenye mapambano hadithi za pembeni zinaanza, badala ya kufanya kweli kama walivyokuwa wakipiga kelele hapo kabla.
Na inaonekana huu mchezo hujausoma vizuri: Kenya anamkingia kifua Kagame kiaina. Wewe soma vizuri kelele nyingi zinazotoka huko utauelewa mchezo wanaocheza.
Sasa Mkongo mwenyewe kaamua kufanya kazi, na nina hakika ataifanya na kuimaliza ipasavyo.
Kwa upande mwingine Kabila za DRC zipo weak ila hao M23/Banyamulenge! wanatumia support ya Kigali na Kampala, Sasa unadhani Kinshasa itashinda? Kwa lipi? Zaidi utasikia Fatshi kapata stroke "ghafla"